MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Apple ina Mpango wa kutoa MacBook Air za bei nafuu mwaka huu
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • Maujanja
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Habari > Apple ina Mpango wa kutoa MacBook Air za bei nafuu mwaka huu

Apple ina Mpango wa kutoa MacBook Air za bei nafuu mwaka huu

Imeandikwa na Kato Kumbi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
Apple ina Mpango wa kutoa MacBook Air za bei nafuu mwaka huu

Kampuni ya Apple inatarajia kutoa Macbook Air za inch 13 kwa bei ya chini ukilinganisha na bei za sasa,(Kwa sasa MacBook Air 13” inauzwa $999 ambayo ni sawa na Sh. 2,200,000/= za kitanzania). Kulingana na ripoti hiyo inaonekana kwamba kamuni ya Apple haikufanikiwa sana katika soko la MacBook Air. “Tunatarajia Apple kutoa MacBook Air mpya na za bei ya chini” alisema Kuo. Mwishoni mwa mwaka 2018 tutaiona bidhaa hiyo ikiingia sokoni.

Apple ina Mpango wa kutoa MacBook Air za bei nafuu mwaka huu

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti Tanzania robo ya kwanza 2023

Ripoti pia inasema kwamba Apple itaongeza upya ubora wa AirPod zake, na kwamba HomePod imepata mahitaji ya kawaida sana katika soko.

 

Wachambuzi wanasema kwamba kupungua kwa bei za MacBook Air kutaweza kuongeza demand ya bidhaa hiyo kutoka asilimia 10 hadi 15 ukilinganisha na zamani.

Endelea Kufuatilia mtaawasaba pia subsribe channel yetu ya YouTube uweze kupata habari mbali mbali za teknolojia kwa video kila wiki.

KWENYE Apple, macbook
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
1 Comment
  • Avatar of mtata mtata anasema:
    Miaka 5 iliyopita kwa 21:36

    Apple sio wa kuwaamini wanapoahidi kutoa product ya bei ya chini. Walisema watatoa iphone ya gharama nafuu wakaja na iPhone 5c na badae pia waliahidi na kuleta iPhone 5se lakini bei bado zilikua hazishikiki. Kwaiyo hata hapo tusitegemee kama bei itakua kama tunavyotarajia.

    Jibu

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Wiki 1 iliyopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Wiki 2 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?