Blackberry Z10 Yazinduliwa Rasmi

Imeandikwa na Alexander Nkwabi
Blackberry Z10
Baada ya kimya cha muda mrefu kutoka  kwa reserch in motion watengenezaji wa  simu za blackberry, hatimaye wamekuja na simu mpya kabisa aina ya blackberry z10, ili kwenda sambamba na wapinzani wao wakubwa simu za android kama samsung, htc na pia kutoka simu za windows bila kusahau simu za apple yani iphone

kwa haraka haraka simu ya blackberry z10 ina sifa zifuatazo;

 

Blackberry Z10 Yazinduliwa Rasmi

-screen ya bb10 itakua na 4.2 inches ikiwa na 356 ppi. (hapa naona wamejitahidi kuleta specs za kisasa)

-blackberry z10 ndo itakua full touch screen na q10 itakua qwerty(ya button)

-kama unaangalia video then ukapata msg just unaswipe unasoma message then unaswipe kurudi kwenye video (yale yaleee ya meego)
-kutakua na blackberry hub itakusanya contact zote za fb, twitter, watsapp, za simu na itakua inakupa updates za social network zako.

-contact zako zitakua populated na linkedin na website nyengine zenye info za watu. (mfano nimemsave mtoto six, nimeeka namba na email ila kuna vitu sivijui about mtoto six, then mtotosix yupo linkedin so bb watavifata kule waniletee)
-wanadai bb watatupa best typing experince kwenye touch kama ilivo kwenye keyboard (mfano umekosea just one click itacorect spell na vidude vyengine (correc kwa watumia kingereza)

  • kutakua na mode mbili personal na work mode ya kikazi zaidi
  • HURRAAAAY kwa wana bb BBM imeekwa video call so mtakua mnapiga simu na video call bure
    Blackberry Z10 Yazinduliwa Rasmi
Acha Ujumbe