MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • Maujanja
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Habari > Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha

Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha

Imeandikwa na Kato Kumbi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha

Kwa hoja ambayo bila shaka itasumbua watu wengi, Google imeondoa kifungu cha kutazama Picha katika utafutaji wa picha Google. Ikiwa utatembelea Google Images na ukihitaji kutafuta na kuchagua picha hautapata fursa ya kuona picha hiyo kwa ubora wake unaostahili kama ilivyokuwa mwanzo.

Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta PichaGoogle haijatoa maelezo ya moja kwa moja ya mabadiliko, ingawa mtu anaweza kudhani ni kuondoa huko ni moja ya Kitu ambacho wanataka google kujaribu kujipatia kipato. Kitufe cha ‘Angalia Picha’ kiliwapa roboti njia rahisi ya kuvuta picha kutoka kwenye mtandao wowote na kutumia kwa malengo yoyote ya kujinufaisha, na pia wakati watumiaji wanapopakua picha kwenye tovuti hawaoni matangazo yoyote ya tovuti au hata kupata fursa ya kushiriki na maudhui yaliyoizunguka picha hiyo.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti Tanzania robo ya kwanza 2023

Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha

Habari hizi zimesambaa kutoka kwenye akaunti rasmi ya Google katika mtandao wa Twitter. Google iliwekea msisitizo kwamba sasa unapotafuta picha utahitaji kutembelea tovuti nzima kwa kunyakua picha nzima kwa matumizi yako mwenyewe.

 

Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha

hata hivyo tayari kuna

Njia rahisi kurudisha kitufe cha view image kwenye matokeo ya google images

unaweza kurudisha kitufe cha view images kwa kutumia plugin hii hapa kama unatumia kisakuzi cha  Google Chrome na hii hapa kama unatumia mozilla firefox. 

kwa kuwa google wamefanya maboresho kwenye kisakuzi chao kipya cha Chrome chenye uwezo wa kuzuia matangazo, basi hatujui plugin hizi zitasalia kwa muda gani.

Tufuatilie kwenye mitandao mbali mbali ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa [email protected]

KWENYE Google
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Wiki 1 iliyopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Wiki 2 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?