Google Play Store sasa itawawezesha kujaribu programu kabla ya kuzipakua

Imeandikwa na Kato Kumbi
Google Play Store Sasa Itawawezesha Kujaribu Programu Kabla Ya Kuzipakua

Toleo jipya kutoka Google Play Store litalokuwezesha kutumia programu kabla ya kuipakua. Teknolojia hii inafanywa iwezekanavyo na Instant Apps. Kwa mbinu hii, programu imegawanywa vipande vidogo vinavyoweza kupatikana bila ya kupakua Package yote ya Application.

Google Play Store Sasa Itawawezesha Kujaribu Programu Kabla Ya Kuzipakua

Sasa, Google inasema utakuwa na uwezo wa kutumia programu kutoka Google Store Play kwa kugonga kitufe kilichoandikwa “Jaribu Sasa” (Try Now”) chini ya program unayoihitaji. kwa sasa kuna baadhi ya program zilizotolewa na Google kwa kujaribu huduma hiyo kwa hiyo inawezekana kwamba Programu za Papo hapo hazijaanza kufanya kazi kila mahali na kwenye vifaa vyote vinavyostahili.

Google Play Store Sasa Itawawezesha Kujaribu Programu Kabla Ya Kuzipakua

Vivyo hivyo Kipengele hiki kinapaswa kiwe rahisi kuamua ikiwa unataka kununua game au programu ya premium kabla ya kuitumia. Tayari kuna mfumo wa kurejeshewa pesa yako ikiwa umepakua programu ndani ya saa mbili za ununuzi wako, lakini hii ya kuijabu program kabla hujaipakua inaweza kusaidia zaidi.

Kwa sasa, programu chache tu zizonaweza “kujaribiwa”, zinajumuisha Hollar, Skyscanner, BuzzFeed, Onefootball Live, Red Bull TV, dotlooop, na New York Time Crossword Puzzle.

Acha Ujumbe