web analytics

Habari

Samsung yaripoti kusitisha uzalishaji wa Vioo vya OLED vya iPhone X

Kutokana na Mauzo ya Simu za iPhoneX kushuka kampuni ya Samsung ambayo ndiyo iliyokuwa inazalisha vioo vya iPhoneX (OLED Display), Kampuni hiyo imeripoti kuacha...

Samsung yazindua Diski ya SSD yenye ukubwa wa Terabyte 30

Yapata miaka miwili sasa tangu Samsung waachie diski yenye ujazo wa Terabyte 15.36 ambayo kwa wakati huo ilikuwa kubwa kuliko zote kupata kutokea duniani. Leo...

Apple waachia iOS 11.2.6 kutatua tatizo linaloharibu iPhone

  Mapema mwezi huu kumetokea tatizo kubwa lililokumba simu za iPhone. Neno la kihindi (Telugu) ambalo likiandikwa kwa kutumia app kama iMassage, WhatsApp, Pamoja na...

Twitter kuacha kutoa programu yake kwenye MacOS

Baada ya mwezi march Application ya Twitter itaacha kufanya kazi kwenye Mfumo Endeshi wa Mac.   Kupitia akaunti yake ya Twitter leo imetangaza kuiondoa na kuacha...

Black Panther filamu ya kiafrika inayoendelea kuwa gumzo – Lupita Nyongo...

Ikiwa ni mda mchache tangu fila hii ya Black Panther kuzinduliwa sehemu mbali mbali bado inaendelea kuwa gumzo na kuonekana kuwavutia watu wengi zaidi...

Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha

Kwa hoja ambayo bila shaka itasumbua watu wengi, Google imeondoa kifungu cha kutazama Picha katika utafutaji wa picha Google. Ikiwa utatembelea Google Images na...

Apple imetangaza kuboresha Programu za iPhoneX

Kampuni ya Apple inayozalisha simu za iPhone imetangaza kuboresha Programu kwenye App Store kuweza kusupport edge to edge display na iPhoneX norch. Apple imetangaza itafanya...

Njia rahisi ya kuzuia Automatic Updates za Windows 10

Sasisho za programu za Windows 10 hujiweka zenyewe kwenye kifaa chako cha Windows 10 moja kwa moja iwe unapenda au hupendi, lakini mwongozo huu...

Ripoti: Android P itakuwa na muonekano wa iPhone X

Mpaka sasa sio simu nyingi tayari zimepata sasisho la toleo jipya mfumo endeshi wa Android Oreo. Na tayari Google wanajiandaa kuachia toleo linalofuata la...

Usichokijua kuhusu WhatsApp Business kwa ajili ya Wajasiriamali wadogo.

Kipindi kichache kilichopita WhatsApp ilizindua Programu yao mpya ya WhatsApp Business inayowawezesha wafanya Biashara wadogo wadogo kuweza kuendesha Biashara zao kupitia mtandao huo wa...