Jinsi ya kuchakachua software zote za windows 8 ziwe bure.

Mwandishi Hemedans Nassor

microsoft wametoa operating system mpya iitwayo windows 8 miezi 6 sasa. kitu kikubwa kwenye hii window ni start screen mpya ambayo ni ongezeko kutoka windows 7. moja ya maongezeko mengine ni kua na application kwa ajili ya windows 8 na hizi application hazipatikani kokote zaidi ya kwenye store ya windows 8. hii imefanya wale wanaopenda mambo ya kuchakachua kuwa ngumu kuweza kuzifanya apps za kulipia ziwe bure na leo ntawafundisha jinsi ya kuchakachua software zote za windows 8 ziwe bure.

Win8-live-tiles

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

NJIA ZA KUFUATA KUCHAKACHUA WINDOWS 8 APPLICATION

  • download software yoyote ya kulipia (download trial)

App1

  • then download crack ya software zote kwenye hii link https://mediafire.com/?3zo66ys9ghg747b
  • ukishadownload extract mafile yote na winrar kwenye folder unalotaka
  • utapata mafolder matatu ‘wscrack_32’, ‘wscrack_64’ na ‘wscrack_anycpu’
  • hapa inategemea na aina ya processor kama una processor ya 32 bit ingia folder la 32 bit na kama una processor ya 64bit ingia folder la 64bit (kujua aina ya processor ingia mycomputer then right click go to properties)
  • ukishaingia folder husika click installer na itainstall
  • rudi nyuma then utaclick folder la wscrack_anycpu halafu utaclick tokensmanager utaona soft zote zinatokea itafute software yako then icrack

App4

  • ur done enjoy full software

cha muhimu windows defender inaweza kitambua kichakachuzi kama malicious software so wewe ignore tu

 

kama kuna tatizo lolote usisite kupost chini

Avatar of hemedans nassor
Mwandishi Hemedans Nassor Mchangiaji
Hemedans aka Chief Mkwawa, amekuwa mwandishi wa makala mbalimbali za teknolojia kuanzia kuanzishwa kwa Mtaawasaba. Kwa sasa ni mchangiaji kila anapopata nafasi
6 Comments

Trending on Mtaawasaba

Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive