Kama umeshasajiliwa na mamlaka ya vitambulisho ya taifa (NIDA). Ila kwa namna moja au ingine haujapata kitambulisho chako cha utambulisho wa taifa usihofu. hapa tutakuchambulia Jinsi ya kupata namba ya nida mtandaoni (2022) hata kama hujapata kitambulisho bado.
Jinsi ya kupata namba ya NIDA mtandaoni (2022)
Njia hii inahitaji uwe una simu au kifaa kama kompyuta ambacho kimeunganishwa mtandao wa intaneti ili uweze kufanikisha zoezi hili. Kama jibu ni ndiyo basi fuata hatua hizi hapa chini na utapata namba yako ya Nida
- Fungua tovuti ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
- Kisha chagua link ya National Identity menu au nenda moja kwa moja kwa kutumia anwani hii NIDA Online-Services
- Ukurasa utakutaka uandike majina yako kamili
- Jaza tarehe ya kuzaliwa
- Andika majina ya mama yako (kama ulivyoandika wakati wa usajili)
- Bofya Search.
Sekunde kadhaa utaletewa namba yako ya kitambulisho wa kitaifa. Kama utakuwa umekosea kujaza taarifa, mfumo utakutaka ujaze upya kwa usahihi kisha utafute tena.
Jinsi ya kupata namba ya nida kwa kutumia USSD (Simu za kiganjani)
Kama hauna mtandao wa intaneti ila unasimu ya mkononi inayotumia mtandao wa Vodacom au Airtel basi unaweza pata namba yako ya nida kwa kutumia ussd code. Fuata hatua zifuatazo
- Andika *152*00#
- Kisha andika 3
- Chagua 2
- Andika Majina yako matatu (la kwanza, kati na ukoo mfano; Shaban Juma Mzee)
- Andika namba ya simu uliyotumia wakati wa usajili
- Kubali kulipa gharama zitakazotozwa kwa huduma hii
Baada ya sekunde kadhaa utapokea ujumbe mfupi ukiwa na namba yako ya kitambulisho cha NIDA. Kama utakuwa umeingiza taarifa kimakosa utatakiwa kuanza upya huku ukiingiza taarifa kwa umakini.
Jinsi ya kupata namba ya nida kupitia ofisi za NIDA za mkoa
Hii ni njia ya mwisho, ambayo inabidi kama njia za mwanzo zimeshindikana kabisa kupata namba ya kitambulisho ya NIDA. Fika ofisi ya mkoa iliyokaribu na wewe kisha waelezee hitaji lako la kutaka kupata namba ya NIDA na watakusaidia.
Unaweza [irp posts=”25284″ name=”Jinsi ya kupata TIN number mtandaoni”]
Naomba kupata muda kwa ajili ya kusafir
Nataka namba yangu ya nida
Jamani naomba kujulishwa kidogi juu ya kupatikana kwa namba yangu ya nida halali na kitambulisho changu, maana nilipewa kitambulisho changu kilichokuwa kimekosewa tu mwezi wangu wa kuzaliwa lakini details nyingine zilikuwa sawa, nilivorudi ofisi za NIDA kuwaeleza hilo tatzo walidai nikitoe copy kile kitambulisho na kupewa control namba ya malipo ili kirekebishwa na kile kitambulisho nikaambiwa nikiache ofisini tangu mwaka juzi, nilifanya malipo hayo, nimesubilia kitambulisho chenye hayo maboresho hakijapatikana mpaka hii Leo, hivi Kuna nani huko jamani kwenye idara husika???
Naomba Nipate namba ya Nida
Nida wavivu sana kweny utendaji wa kazi
Naomba nisaidie kupata namba ya nida
Jina la kwanza: DEVOTHA,
Jina la Mwisho: BISWARO
REHE YA KUZALIWA: 05/08/1993
JINA LA MAMA: BETTY BISWARO
Nahitaji nipate namba ya nida
Nahitaji namba nida
Naomba kusaidiwa nipate NIDA yangu jaman maana Toka mwaka jana naangaika lakin Hadi Sasa sijaweza kuipata na inavyosemekana ni kuwa haujatoka kitu ambacho hakiwezekan maana ni mwaka mzima sasa
Mniangalizie
Mniangalizie
Samahan Naitwa prosper martin mfoy nimepoteza number za nida mnaweza kunisaidia kwa kunitumia kupitia number hii 0621054108
Nahitaji kupata namba yang ya NIDA
Je mm nisiye [email protected] kwenye ofisi ya mkoa naweza jisajili mtandaoni na kupata namba ya nida
Nataka namba yangu ya nida
0657637486 nataka nida yangu
Naomba nisaidiwe no yang ya nida nimejiandikisha toka 2020
Jaribu kutumia njia zilizo orozeshwa hapo juu, ikishindikana ndio uone nikwanamnagan unaweza kufika ofisi za mkoa wako
Nahitaji namba ya nida
Nitumie namba yangu ya nida
Help me to get nida namba
Samahan naitwa Johan John Mmasy no yang ya Nida nimeisahau naweza tumiwa tena kwa no 0624574851
naomba nitafutie nida
Nmejiandikisha toka mwezi wa 6 had Leo sjapata no yangu tatzo ni nn
Naomba kusaidiwa nipate nida yangu
Nimeandikisha Toka 2018
Naomba nitafutie namba za nida
Naomba unisaidie namba yangu ya nida
Naomba unisaidie namba yangu ya nida nilipoteza
Naomba namba ya nida
Kwaajili ya kupata line za uwakala