Kutana na Gari la kujiendesha lenyewe lisilo na usukani

Imeandikwa na Kato Kumbi
Kutana Na Gari La Kujiendesha Lenyewe Lisilo Na Usukani
GM's planned Cruise AV driverless car features no steering wheel or pedals in a still image from video released January 12, 2018. General Motors/Handout via REUTERS

General Motors (GM) kampuni ya kimarekani inayojihusisha na uzalishaji wa vyombo vya moto ina mpango wa kuzalisha magari ya kujiendesha yenyewe ambayo hayana udhibiti wa jadi kama usukani wa kuendeshea na pedals za brake au mafuta mwaka 2019.

Kutana Na Gari La Kujiendesha Lenyewe Lisilo Na Usukani

“Ni wakati wa kusisimua sana katika historia magari kuwa na gari la kwanza la kujiendeshanlenyeww bila udhibiti wa dereva,” Rais wa GM Dan Ammann alisema.

Hii ndio itakuwa gari ya kwanza katika matoleo ya gari ya kujiendesha yenyewe ambazo hazina pedal za kuendeshea na usukani wa kuidhibiti bara barani kama ilivyo kwa magari kama ya Benz, Google na BMW.

Acha Ujumbe