web analytics

Makala

Fahamu kuhusu Gari ya Umeme

Gari la umeme ni gari ambalo linatengenezwa na motor moja au zaidi ya umeme, kwa kutumia nishati zilizohifadhiwa kwenye betri za kuchaji. Magari ya...

MWC 2018: Tutegemee kuona nini?

Zikiwa zimebaki siku chache kabla kongamano hili kubwa kuanza, tuwekane sawa kwanza. MWC (kwa kirefu ni Mobile World Congress ) ni moja ya matukio...

Bitcoin: Yote unayohitaji kufahamu

Bitcoin ni mfumo wa kidigitali wa malipo kwenye mtandao wa internet (cryptocurrency), Imekuwepo tangu mwaka 2009. Mfumo huu ulitengenezwa na programa/maprograma anae/wanao julikana kwa jina...

Kampuni za simu kuboresha usajili wa wateja kwa kutumia alama za...

Leo karibu mitandao yote ya simu nchini Tanzania imekuwa ikituma ujumbe mfupi wa maneno kwa wateja wao unaosema “Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa...

Siri ya TECNO kuongoza zaidi ya Asilimia 50% kuuza bidhaa nyingi...

Kampuni ya TECNO ni kampuni ya Kichina inayojohusisha na uzalishaji wa bidhaa za kielectroniki hususani simu za mkononi. Kampuni ya Tecno ilianzishwa mnamo mwaka 2006...

Hakikisha unaipa ulinzi Computer yako: Antivirus hizi ni bora na za...

Programu ya Antivirus ni moja ya mambo ya kwanza ambayo unapaswa kuweka kwenye PC mpya, na ulinzi wa ubora wa juu unaweza kuwa wako...

OnePlus 5T: Unahitaji simu hii kwa matumizi zaidi ya simu

Simu ya OnePlus 5T ilizinduliwa mnamo Novemba 2017. Simu inakuja na kionyesho cha skrini ya inchi 6.01 na Resolution ya pixels 1080 na pixels...

Apple kununua app ya kutambua muziki ya Shazam

Taarifa ambazo zimeanza kuonekana Tech Crunch zinasema kuwa Kampuni ya Apple iko katika hatua za mwisho kabisa kukamilisha dili la kuinunua app ya Shazam,...

Cryptocurrency ni nini?

Cryptocurrency sio neno geni masikioni kwako ndugu msomaji. Ni mada ambayo imekuwa ikizungumziwa sana hasa hasa kipindi cha miaka ya hivi karibuni. Lakini je,...

Utaratibu wa kuhama Mtandao Bila kubadili Namba – Mobile Number Portability

Huduma ya MNP ina maana gani? Huduma ya kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani (MNP), ina maana kuwa mtumiaji anabaki na...