web analytics

Matukio

Samsung Galaxy S9: kuzinduliwa Februari 25

Ni muda sasa kumekuwa na tetesi za simu mpya kutoka kwa kampuni mashuhuri ya kutengeneza vifaa vya ki elektroniki ya Samsung. simu hizo ni...

TECNO kuja Na Camon CM January hii

Baada ya Kufanya vizuri katika Models za Camon kuanzia Tecno Camon C5, C7, C8, C9 na Camon CX, Sasa kampuni ya Tecno inaongeza toleo...

Doogee V: Smartphone ya kwanza 2018 yenye Fingerprint juu ya kioo

Kampuni ya kichina inayojihusisha na utengenezaji wa Simu, Imetangaza kuzindua hivi karibuni simu mpya ambayo itasupport fingerprint kuwekwa juu ya kioo! Kama ilivyokuwa Juni 2017...

The Wall: TV yenye ukubwa wa ajabu kutoka Samsung

Ni mashindano ya nani mwenye uwezo kutengeneza Televisheni kubwa, ambapo siku kadhaa kabla ya maonesho ya CES 2018 kuanza kampuni ya LG ilionesha TV...

Kutana na Kiatu Janja kwa ajili ya wazee

Teknolojia ya vifaa janja vinavovaliwa (wearables) inazidi kukua kila kukicha. Mwaka huu katika maonesho ya CES 2018 yanayoanza rasmi leo tarehe 8 mwezi wa...

LG waonesha TV kubwa zaidi duniani yenye teknolojia ya 8K

Kuelekea maonesho ya vifaa vya teknolojia ambayo hufanyika nchini Marekani. Kampuni ya Korea kusini ya LG ambayo ni mashuhuri kwa vifaa vya kielektroniki imeonesha...

Kampuni ya Nokia kuungana na Vodacom Kueneza teknolojia mpya ya 5G

Nokia na Vodacom wametangaza ushirikiano kati ya makampuni haya mawili kushirikiana katika majaribio ya mtandao kuanza kutumia teknolojia ya Nokia 5G ambayo pia itawawezesha Vodacom kuendeleza digitali kwa manufaa...

Google Play Store sasa itawawezesha kujaribu programu kabla ya kuzipakua

Toleo jipya kutoka Google Play Store litalokuwezesha kutumia programu kabla ya kuipakua. Teknolojia hii inafanywa iwezekanavyo na Instant Apps. Kwa mbinu hii, programu imegawanywa...

Kampuni ya Apple inatarajia kuongeza kipengele cha FaceID kwenye kifaa cha...

Simu ya kwanza kuzinduliwa ikiwa na kipengele cha ulinzi cha FaceID ni iPhoneX wengine wanaita iPhone 10, Japo bado hazijaanza kununuliwa Official kwenye store...

Google inatarajia kuzindua simu mbili mwanzoni mwa mwezi Oktoba

Wakati kampuni za Samsung na Apple zikiwa zimezindua simu zake mwanzoni mwa mwezi wa tisa, Google inajiandaa kuzindua simuzake mpya mwanzoni mwa mwezi Octoba...