web analytics

Mengineyo

Google yafanya Mabadiliko katika Matokeo ya kutafuta Picha

Kwa hoja ambayo bila shaka itasumbua watu wengi, Google imeondoa kifungu cha kutazama Picha katika utafutaji wa picha Google. Ikiwa utatembelea Google Images na...

Njia rahisi ya kuzuia Automatic Updates za Windows 10

Sasisho za programu za Windows 10 hujiweka zenyewe kwenye kifaa chako cha Windows 10 moja kwa moja iwe unapenda au hupendi, lakini mwongozo huu...

Utaratibu wa kuhama Mtandao Bila kubadili Namba – Mobile Number Portability

Huduma ya MNP ina maana gani? Huduma ya kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani (MNP), ina maana kuwa mtumiaji anabaki na...

Vifurushi vya internet visivyo rasmi kwa makampuni ya simu

Katika makala hii ntakuchambulia vifurushi visvyo rasmi kama vifurushi vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama...

Jinsi ya kuflash simu zote zenye MediaTek chipset

Kama mwezi umepita nahangaika na TECNO ya mdogo wangu hapa nyumbani ambayo inajirestart kila muda mpaka betri iishe chaji, Nimehangaika nayo kwa mafundi lakini...

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Computer nyingi tunazonunua huwa zinatumia processor za intel au amd, lakini ni intel ambaye ametawala sana kushinda amd kwenye computer zetu. Leo nimeamua niandike...

Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Kununua kompyuta iwe laptop au desktop huwachanganya watu wengi hasa wasiokuwa na uzoefu wa vifaa hivi maana ukifika dukani utakuta za kila namna na...

Jinsi ya kuangalia video za youtube na subtitle

ushawahi kuingia youtube na kukuta video nzuri ya tutorial au mziki ukaipenda lakini tatizo likaja ile video sio ya kingereza wala kiswahili ni lugha...

Jinsi ya ku-secure switch yako ya cisco

Tukija kwenye swala la network hakuna jambo la msingi kama kuweka network yako katika hali ya usalama. Tunapoongelea usalama wa network kwa kawaida wengi...

Jinsi ya kuchakachua software zote za windows 8 ziwe bure.

microsoft wametoa operating system mpya iitwayo windows 8 miezi 6 sasa. kitu kikubwa kwenye hii window ni start screen mpya ambayo ni ongezeko kutoka...