Samsung yaripoti kusitisha uzalishaji wa Vioo vya OLED vya iPhone X

Imeandikwa na Kato Kumbi
Samsung Yaripoti Kusitisha Uzalishaji Wa Vioo Vya Oled Vya Iphone X

Kutokana na Mauzo ya Simu za iPhoneX kushuka kampuni ya Samsung ambayo ndiyo iliyokuwa inazalisha vioo vya iPhoneX (OLED Display), Kampuni hiyo imeripoti kuacha kuzalisha vioo vya OLED vya iPhoneX badala yake itaanza kuzalisha vioo vya mwanga wa kikaboni vya LCD.

Samsung Yaripoti Kusitisha Uzalishaji Wa Vioo Vya Oled Vya Iphone X

Samsung ilifanya maamuzi hayo kutokana na makubaliano ya uuzaji wa iPhoneX kufikia  simu milioni 45 hadi 50. Na sasa Samsung inafanya mpango wa kuzalisha vioo vyenye mwanga wa kikaboni kwa iPhones milioni 20 hadi mwisho wa mwezi wa tatu.

Mauzo kupungua ya simu hiyo imeripotiwa kuwa gharama ya simu ya iPhone X kuwa kubwa kulinganisha na wasifu wa simu hiyo kuwa bei yake haiendani na gharama za uuzwaji wa simu hiyo.

Endelea kuwa nasi kwa kutufuata kwenye mitandao ya kijamii, na usisahau ku subscribe ili uwe wa kwanza kupata Habari, Uchambuzi na Makala mbali mbali za kisayansi na teknolojia. Pia usisahau ku acha maoni yako hapo chini na unaweza kuwasiliana nasi kwa barua pepe [email protected]

 

Maoni 2