MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Sasa unaweza kufanya manunuzi Google Play kwa kutumia M-Pesa (Kenya)
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • Maujanja
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Habari > Sasa unaweza kufanya manunuzi Google Play kwa kutumia M-Pesa (Kenya)

Sasa unaweza kufanya manunuzi Google Play kwa kutumia M-Pesa (Kenya)

Imeandikwa na Alexander Nkwabi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
Sasa unaweza kufanya manunuzi Google Play kwa kutumia M-Pesa (Kenya)
kwa hisani ya TechWeez

Habari njema kwa watumiaji wa simu za Android wa Kenya, sasa hawahitaji kuwa na kadi za benki ili waweze kununua app, filamu au manunuzi mengine kupitia Google playstore kwani Google wameongeza njia ya malipo ya M-Pesa Express.

Safaricom ambao ndio watoa huduma ya M-Pesa kenya wameungana na DOCOMO Digital katika kulifanikisha hili kwa kutumia API ya mfumo wa malipo ya Google Play, inayowaruhsu watumiaji wa M-Pesa kulipia bidhaa na huduma kutoka kwenye duka hilo. Hii ni ndoto iliyotimia kwa watumiaji wengi ambao walitamani kununua app au huduma zingine ila mfumo mzima haukuwa rafiki.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Akizungumza na waandishi wakati wa uzinduzi wa huduma hii, Mkurugenzi wa mipango wa Safaricom bwana Joseph Ogutu alisema, “muungano ni jambo zuri katika kurahisisha huduma kwa wateja wetu. Muungano huu unawawezesha wateja wetu kuongeza machaguo kwenye malipo wanapojuwa wakitumia Google Play”

Endelea kuwa nasi @Mtaawasaba na pia usisahau kutufuata katika Social network mbali mbali kwa jina la mtaawasaba, Pia usisahau kusubscribe email kuweza kupata habari mpya kila zinapoingia, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini! Ahsante sana

KWENYE M-Pesa
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Wiki 1 iliyopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Wiki 2 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?