Twitter kuacha kutoa programu yake kwenye MacOS

Imeandikwa na Kato Kumbi
Twitter Kuacha Kutoa Programu Yake Kwenye Macos

Baada ya mwezi march Application ya Twitter itaacha kufanya kazi kwenye Mfumo Endeshi wa Mac.

Twitter Kuacha Kutoa Programu Yake Kwenye Macos

 

Kupitia akaunti yake ya Twitter leo imetangaza kuiondoa na kuacha kutoa kabisa programu hiyo katika Mac App Store. ”Tunasisitiza jitihada zetu kwenye uzoefu mkubwa wa Twitter ambao ni thabiti katika jukwaa la wadau. Kwa hiyo, kuanzia leo programu ya Twitter kwa Mac haitapatikana tena kwa kupakuliwa, na katika siku 30 haitatumika tena.”

Twitter Kuacha Kutoa Programu Yake Kwenye Macos

Tufuatilie kwenye mitandao mbali mbali ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye FacebookTwitterInstagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa [email protected]

 

Acha Ujumbe