MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Kampuni ya Uber yasitisha huduma Tanzania
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Featured > Kampuni ya Uber yasitisha huduma Tanzania

Kampuni ya Uber yasitisha huduma Tanzania

Imeandikwa na Emmanuel Tadayo Miezi 11 iliyopita
Sambaza
Uber yasitisha huduma Tanzania
Kampuni ya huduma za taxi ya Uber yasitisha huduma Tanzania. Uber ambayo hutoa huduma zake jijini Dar es Salaam imetoa taarifa hiyo ya kusimamisha huduma zake leo.

Kupitia chapisho kwenye tovuti ya Uber, wameandika sababu kubwa ya wao kusitisha huduma Tanzania ni changamoto ya nauli elekezi iliyopangwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kutoendana na gharama za uendeshaji wa huduma.

Nauli elekezi iliyowekwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesababisha changamoto kubwa kwa mifumo kama Uber kuendelea kutoa huduma kwa wateja wetu. Inakua ngumu kwetu kuendelea kutoa huduma.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Uber ambayo imekuwa ikitoa huduma za taxi kupita app yao tangu mwaka 2016 jijini Dar es Salaam wameandika Huduma zitasimamishwa rasmi kuanzia tarehe Tarehe 14 Aprili 2022.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, huduma zinazositishwa na Uber nchini Tanzania ni UberX, UberXL na UberX Saver. Usitishaji huu ni wa muda tu mpaka pale mamlaka husika zitakapokuwa tayari kushirikiana na wadau wa usafirishaji kuboresha kanuni zitazo leta ustawi wa teknolojia katika usafirishaji wa abiria.

Wiki hii madereva wa huduma taxi za mtandaoni za Bolt na Uber waliandamana kwenda ofisi LATRA kuhusu bei za nauli ili iwasaidie kufanya kazi kwa faida, wadau wa sekta ya usafiri wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwasaidia ili kuleta unafuu kwa wananchi kutokana na gharama za usafiri zinazotarajiwa kupanda.

 

KWENYE Uber
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?