Watumiaji wa Whatsapp: Sasa unaweza kuzuia au kurekebisha ujumbe uliotumwa kimakosa!

Imeandikwa na Kato Kumbi
Watumiaji Wa Whatsapp: Sasa Unaweza Kuzuia Au Kurekebisha Ujumbe Uliotumwa Kimakosa!

Whatsapp inakuletea kipengele kipya kwa watumiaji wa simu za android na ios kuweza kurekebisha au kufuta kabisa message ilitumwa kimakosa kama mtumiwaji bado hajaifungua Message hiyo kwa kubonyeza kwenye message iliyotumwa na ku Revoke meseage.

Watumiaji Wa Whatsapp: Sasa Unaweza Kuzuia Au Kurekebisha Ujumbe Uliotumwa Kimakosa!

Whatsapp kwa sasa inajaribu kipengele hicho katika simu za Android na IOS (Beta Testing) kwa ajili ya kuitoa hivi karibuni, kwa sasa inaruhusu watumiaji wachache kupata huduma hiyo kwa wale waliojiunga na Testing Program (Unaweza jiunga Hapa kwa android).

Hivi karibuni mtumiaji wa Twitter @WabetaInfo alituma picha katika ukurasa wake akionesha kipengele hicho cha Whatsapp kwenye simu yake ya iPhone (IOS).

Watumiaji Wa Whatsapp: Sasa Unaweza Kuzuia Au Kurekebisha Ujumbe Uliotumwa Kimakosa!

Pia Whatsapp inatarajia kuzuia kipengele chake kinachoweza kufuatilia maeneo ya mtumiaji wake (Location).

Tufuatilie @MtaaWasaba katika Social Network Facebook, Twitter, instagram na YouTube pia tuandikie maoni yako [email protected]

Maoni 2