Jinsi ya Ku Activate Windows 11 Matoleo Yote Bure Bila Programu ya Ziada

Alexander Nkwabi 86

Kampuni ya Microsoft ilizindua toleo jipya kabisa la mfumo endeshi wake wa kompyuta wa Windows 11 siku za hivi kama mrithi wa Windows 10. Kama wewe ni mmoja ya wale wasiopenda kusubiri na tayari ushapakua na kusashisha mfumo huu kwenye kompyuta yako basi chapisho hili litakufaa.

Kupitia makala hii utaelewa Jinsi ya Ku Activate Windows 11 matoleo manne bila kutumia programu yoyote na bila gharama yoyote.

Kama tayari usha install windows 11 ila huja activate au huna hela ya kununua keys kwa ajili ya ku activate basi endelea kusoma hatua kwa hatua Jinsi ya Ku Activate Windows 11 Bure.

 Vitu vinavyohitajika

  1. Kompyuta ambayo tayari imesasishwa Windows 11
  2. Intaneti
  3. Program ya kuandika (Mfano: notepad, notepad++, wordpad, word, n.k)
  4. Akili kiasi, na muda kama dakika 5

Ukishakuwa na vitu hivyo vilivotajwa hapo juu, basi tunaweza kuanza

Hatua ya kwanza.

Fungua program ya notepad au yoyote uliyonayo ya kuandikia,  kisha nakili code hii hapa chini na uhamishie kwenye programu hiyo.

@echo off
title Activate Matoleo yote ya Windows 11 Bure - Mtaawasaba.com&cls&echo =====================================================================================&echo #Maujanja: Njia rahisi ya ku Activate Windows 11 matoleo yote bila programu ya ziada&echo =====================================================================================&echo.&echo Matoleo ya Windows 11 yanayoweza kuwa activated ni:&echo - Windows 11 Home&echo - Windows 11 Professional&echo - Windows 11 Education&echo - Windows 11 Enterprise&echo.&echo.&echo ============================================================================&echo Mchakato wa ku activate umeanza (kaa kwa utulivu usiguse kitu)...&cscript //nologo slmgr.vbs /ckms >nul&cscript //nologo slmgr.vbs /upk >nul&cscript //nologo slmgr.vbs /cpky >nul&set i=1&wmic os | findstr /I "enterprise" >nul
if %errorlevel% EQU 0 (cscript //nologo slmgr.vbs /ipk NPPR9-FWDCX-D2C8J-H872K-2YT43 >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk DPH2V-TTNVB-4X9Q3-TJR4H-KHJW4 >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk YYVX9-NTFWV-6MDM3-9PT4T-4M68B >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk 44RPN-FTY23-9VTTB-MP9BX-T84FV >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk WNMTR-4C88C-JK8YV-HQ7T2-76DF9 >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk 2F77B-TNFGY-69QQF-B8YKP-D69TJ >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk DCPHK-NFMTC-H88MJ-PFHPY-QJ4BJ >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk QFFDN-GRT3P-VKWWX-X7T3R-8B639 >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk M7XTQ-FN8P6-TTKYV-9D4CC-J462D >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk 92NFX-8DJQP-P6BBQ-THF9C-7CG2H >nul&goto skms) else wmic os | findstr /I "home" >nul
if %errorlevel% EQU 0 (cscript //nologo slmgr.vbs /ipk TX9XD-98N7V-6WMQ6-BX7FG-H8Q99 >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk 3KHY7-WNT83-DGQKR-F7HPR-844BM >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk 7HNRX-D7KGG-3K4RQ-4WPJ4-YTDFH >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk PVMJN-6DFY6-9CCP6-7BKTT-D3WVR >nul&goto skms) else wmic os | findstr /I "education" >nul
if %errorlevel% EQU 0 (cscript //nologo slmgr.vbs /ipk NW6C2-QMPVW-D7KKK-3GKT6-VCFB2 >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk 2WH4N-8QGBV-H22JP-CT43Q-MDWWJ >nul&goto skms) else wmic os | findstr /I "11 pro" >nul
if %errorlevel% EQU 0 (cscript //nologo slmgr.vbs /ipk W269N-WFGWX-YVC9B-4J6C9-T83GX >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk MH37W-N47XK-V7XM9-C7227-GCQG9 >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk NRG8B-VKK3Q-CXVCJ-9G2XF-6Q84J >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk 9FNHH-K3HBT-3W4TD-6383H-6XYWF >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk 6TP4R-GNPTD-KYYHQ-7B7DP-J447Y >nul||cscript //nologo slmgr.vbs /ipk YVWGF-BXNMC-HTQYQ-CPQ99-66QFC >nul&goto skms) else (goto notsupported)
:skms
if %i% GTR 10 goto busy
if %i% EQU 1 set KMS=sv9.uk.to
if %i% EQU 2 set KMS=s8.uk.to
if %i% GTR 3 goto ato
cscript //nologo slmgr.vbs /skms %KMS%:1688 >nul
:ato
echo ============================================================================&echo.&echo.&cscript //nologo slmgr.vbs /ato | find /i "successfully" && (echo.&echo ============================================================================&echo.&echo Tovuti ya Mtaawasaba.com inakuletea habari za teknolojia, uchambuzi.&echo na makala kuhusu teknolojia mbalimbali ikiwemo simu za mkononi,.&echo tableti, kompyuta, programu na mengineyo mengi yahusuyo teknolojia.&echo.&echo ============================================================================&choice /n /c NH /m "Ungependa kutembelea tovuti yetu? Bonyeza [N = Ndiyo, H = Hapana]" & if errorlevel 2 exit) || (echo Seva ya KMS iko bize! Tunajaribu seva ingine... & echo Tafadhari subiri... & echo. & echo. & set /a i+=1 & goto skms)
explorer "https://bit.ly/3tUEXCN"&goto halt
:notsupported
echo ============================================================================&echo.&echo Pole. Toleo hili la windows halisapotiwi.&echo.&goto halt
:busy
echo ============================================================================&echo.&echo Samahani, Seva ziko bize kwa sasa. Tunajaribu tena.&echo.
:halt
pause >nul

 au unaweza BOFYA HAPA ku download text file lake

Hakikisha unacopy kila kitu kwani ukisahau hata herufi moja njia hii haitoweza kufanyakazi kwenye kompyuta yako.

Jinsi ya Ku Activate Windows 11 Bure

Baada ya kunakili code hiyo hapo juu kwenda kwenye program yako ya kuandikia ya notepad, nenda kwenye menyu file halafu chagua save as. Hapo itakutaka uandike jina la faili, kisha andika jina lolote unalotaka halafu mbele ya jina hilo andika .bat au .cmd hii ni muhimu sasa hakikisha jina hilo lina onekana kama hivi jinalafile.bat au jinalafaili.cmd hakikisha mwisho kuna .bat au .cmd kisha bofya Save.

Jinsi ya Ku Activate Windows 11 Bure

Kama umeweza kufikia hatua hii kikamilifu, basi tayari tumeweza kutengeneza faili litakalotusaidia katika mchakato wa Jinsi ya Ku Activate Windows 11 Bure.

Hatua Ya Pili

Angalizo: Kabla hujaendelea hakikisha kompyuta yako iimeunganishwa na mtandao wa intaneti (hii ni muhimu sana). Pia kama utazima mfumo wa ulinzi wa Windows Defender kwa muda itapendeza zaidi (Sio lazima kuzima ila kama faili letu linaonekana kama Hacktool basi tunaweza zima kwa muda ambao tuna activate)

Bofya kwenye file tulilo tengeneza kisha bofya kitufe cha kulia (Right click) kwenye kompyuta yako kisha malizia kwa kubofya Run as Administrator.

Jinsi ya Ku Activate Windows 11 Bure

Ukisha right click, utafunguka ukurasa mpya wa CMD ambao utakuwa na maelekezo, Huhitaji kufanya chochote zaidi ya kukaa na kusubiri kazi iishe, ni kama sekunda 5 mpaka kumi tayari Windows 11 yako itakuwa Activated. Na mpaka hapo utakuwa umeshajua Jinsi ya Ku Activate Windows 11 Bure.

Jinsi ya Ku Activate Windows 11 Bure

Njia hii ina support matoleo manne ya Windows 11 ambayo ni

  • Windows 11 home
  • Windows 11 Pro
  • Windows 11 education, na
  • Windows 11 Enterprise.

Cha kufurahisha zaidi ni kwamba unaweza kutumia njia hii ku activate Windows 10 na 8 matoleo hayohayo manne.

Ni matumaini yetu umefurahia Jinsi ya Ku Activate Windows 11 Bure, basi Endelea kutembelea tovuti yetu ya Mtaawasaba ili kujifunza na kupata maujanja zaidi ya teknolojia, pia usisahau kutu follow kwenye sosho midia mbalimbali kwa jina la @mtaawasaba na kusabscribe kwenye channel yetu ya youtube

MADA:
Mwandishi Alexander Nkwabi Mhariri
Mitandao ya Kijamii
Alex ni mhariri mwandamizi hapa Mtaawasaba.com, kwa kipindi kirefu amekuwa akivutiwa na mfumo endeshi wa Android na michezo ya kompyuta. Alex akiwa haandiki hapa Mtaawasaba basi hupendelea kupiga picha, kusafiri na kusoma vitabu.
Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive