web analytics

HABARI MPYA

YouTube Music: Huduma mpya ya kustream muziki kutoka Google yazinduliwa

Leo YouTube wanazindua huduma mpya kustream muziki iliyopewa jina la YouTube Music. Huduma hii itakupa fursa ya kusikiliza albamu nzima, cover, remix, matoleo ya live...

Twitter sasa yatambua Kiswahili kama lugha rasmi

Mtandao wa kijamii wa Twitter umeongeza lugha ya Kiswahili kama moja ya lugha rasmi kwenye mtandao huo. Kiswahili ni moja ya lugha zinazotumika na...

Acer imezindua Chromebox Mpya ya Gharama nafuu zaidi

Katika maonesho ya CES 2018 Acer waliweza kuoneshsha bidhaa zao nyingi ikiwepo hii ya Chromebox. Ni Computer ya mezani inayotumia mfumo endeshi wqa ChromeOS...

Kashfa ya Cambridge Analytica yafanya Facebook kuzindua programu kusafisha mipangilio yako ya faragha.

Ili Kufanya iwe rahisi kupunguza ufikiaji wa data zako kutokana na kashfa hiyo facebook sasa inakuwezesha kuondoa programu ambazo ulizitumia kupitia facebook login kwa...

Wireless Storage: Njia rahisi ya kuhamisha Data kwenye simu yako ya android.

Data transfer imekuwa kikwazo kikubwa hasa katika file kubwa mfano file yenye kuanzia 1gb na zaidi inakuwa inachukua muda mrefu sana kutumia USB cable...
TANGAZO