MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Featured > Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Imeandikwa na Amos Michael Miezi 4 iliyopita
Sambaza
Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022
Muhtasari
  • Kuanzia teknolojia ya ugunduzi wa offside kwa kutumia AI hadi msaada kwa mashabiki wasioona, hapa tunakuletea kila teknolojia itakayotumika kwenye Kombe la Dunia la FIFA linaloendeshwa na teknolojia Qatar 2022.
Yaliyomo
Teknolojia ya hali ya juu ya kupoza uwanjaAI Rihla: Mpira rasmi wa Kombe la DuniaTeknolojia ya kuotea (Semi-automated offside technology)Teknolojia ya msaada kwa mashabiki wasioonaProgramu ya Mchezaji wa FIFA

Kadri teknolojia inavyozidi kukua ndio matumizi yanazidi kuongezeka. Matumizi ya Teknolojia kwenye michezo sio jambo ambalo limeanza hivi karibuni, hasa kwenye mchezo wa soka ama mpira wa miguu. Katika makombe kadhaa ya dunia yaliyotangulia tumeona teknolojia kadhaa mpya zikitumika katika kusaidia katika maamuzi uwanjani.

Mwaka 2010, wakati Qatar ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la 2022, ilianza kuandaa Dira ya 2020-23 ikijikita zaidi kwenye nia ya FIFA kutumia teknolojia katika soka.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti Tanzania robo ya kwanza 2023

Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2: Kwa ajili ya simu bora za Android 2023 yazinduliwa

Wazo ni kuongeza aina tofauti za teknolojia ili kuboresha uzoefu wa mchezo kwa mashabiki ndani na nje ya uwanja. Baadhi ya teknolojia hizi ni pamoja na AI au akili za bandia kusaidia kugundua offside, teknolojia ya kusaidia kwa mashabiki wasioona, teknolojia ya kudhibiti hali ya joto ndani ya uwanja, na mpira wenyewe una sensor za kugundua kasi ya mchezo.

Ungana nami nikikuangazia machache ya kiteknolojia ambayo unahitaji kuyafahamu katika Kombe la Dunia la Qatar 2022:

Teknolojia ya hali ya juu ya kupoza uwanja

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Hali ya hewa ya joto kali na hali ngumu ya mazingira ya Qatar ndio kitu cha kwanza FIFA ilitaka kukabiliana nacho kwanza. Ili kuendana na hili, viwanja saba kati ya nane vinavyoandaa Kombe la Dunia la Qatar 2022 vitakuwa na teknolojia ya hali ya juu ya baridi ili kuweka hali ya hewa ndani ya uwanja baridi. Kituo cha nishati karibu na uwanja kitakuwa na uwezo wa kusukuma maji ya baridi katika bomba lililounganishwa na uwanja, ambalo lingebadilishwa kuwa hewa baridi na kusukumwa kwenye uwanja wa kucheza na maeneo ya kukaa watazamaji.

AI Rihla: Mpira rasmi wa Kombe la Dunia

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Mpira huu ni wa 14 katika mfululizo wa mipira yenye teknolojia ya kisasa iliyotengenezwa na Adida kwa ajili ya mashindano makubwa ya mpira. Mpira huu una sensor ndani yake ambayo inaweza kugundua kasi na uelekeo wa mchezo. FIFA imedai kuwa mpira husafiri kwa kasi zaidi kuliko mpira wowote katika historia ya mashindano hayo.

Kwa kuongezea, mfumo wa suspension wa Adidas utasaidia kugundua eneo mpira ulipoguswa kwa usahihi mkubwa. Ubunifu wa mpira Al Rihla, ambayo inamaanisha ‘safari’ kwa Kiarabu, umeongozwa na utamaduni, usanifu, boti za kifahari, na bendera ya Qatar. Teknolojia ya offside pia ina kipengele cha kugundua matukio ya offside kwa sensor ya inertial measurement unit (IMU) iliyowekwa ndani ya mpira. Data ya mpira itatumwa kwenye chumba cha operesheni ya video zaidi ya mara 500 kwa sekunde.

Teknolojia ya kuotea (Semi-automated offside technology)

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

FIFA imetumia mfumo mpya wa kuchunguza msimamo wa soka na kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi sahihi, ya haraka na ya papo kwa papo wakati wa mashindano hayo Kwa msaada wa kamera 12 za kufuatilia kuzunguka uwanja na mpira wa Al Rihla, teknolojia hiyo itatoa tahadhari ya moja kwa moja kwa Mwamuzi Msaidizi wa Video kila wakati mpira unapochezwa kwa mchezaji katika nafasi ya kuotea. Hii itapunguza utegemezi wa marudio ya muda mrefu ya VAR ili kuamua kama mchezaji ameotea au la.

Teknolojia ya msaada kwa mashabiki wasioona

Teknolojia ya msaada kwa mashabiki wasioona

FIFA kwa kushirikiana na Bonocle and Feelix kuja na teknolojia itakayowasaidia mashabiki wasioweza kuona. Kampuni yenye makao makuu yake Doha ilianzishwa mwaka 2014 na Abdelrazek Aly and Ramy Soliman. Kwa kutumia teknolojia yao ya usaidizi kwenye changamoto za kuona wataweza kufurahi mashindano ya kome la dunia kama wengine.

Programu ya Mchezaji wa FIFA

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Programu ya Mchezaji wa FIFA iliyotengenezwa na FIFA kwa kushirikiana na FIFPRO itatumika kwa mara ya kwanza nchini Qatar 2022. Programu hii itasaidia kutoa taarifa mbalimbali kuhusu mchezaji mmoja mmoja ikiwemo  kasi, amegusa mpira mara ngapi, ameotea, amepiga pasi kwa usahihi kwa asilimia ngapi na mengine mengi.

 

KWENYE FIFA, Kombe La Dunia
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?