Sasa watumiaji wa Android na iOS wanaweza kujitumia ujumbe kupitia WhatsApp
Sasa unaweza kujitumia ujumbe kupitia WhatsApp kwani programu hii imeachia kipengele kipya chenye jina ‘Message Yourself’ kitakachokuwezesha kujitumia Ujumbe Mwenyewe…
Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2: Kwa ajili ya simu bora za Android 2023 yazinduliwa
Qualcomm imetangaza rasmi kuachia kizazi cha pili cha prosesa zake zenye uwezo mkubwa kwa vifaa vya rununu. Qualcomm Snapdragon 8…
Meta kampuni mama ya Facebook yatangaza kupunguza wafanyakazi 11,000
Kampuni mama ya Facebook ya Meta siku ya Jumatano ilisema inawaondoa wafanyakazi 11,000 ambao ni karibu asilimia 13 ya wafanyakazi…
Vodacom Tanzania imezindua huduma ya teknolojia ya 5G
Kwa mara ya kwanza kabisa Watanzania wataanza kutumia teknolojia ya mawasiliano ya 5G kwani kampuni ya Vodacom Tanzania imezindua huduma…
Twitter inafanyia majaribio kipengele kipya cha Status
Ikiwa umekuwa kwenye Twitter wiki iliyopita au zaidi, labda umegundua vitambulisho vipya vya Status ambavyo vinaanza kujitokeza kwenye machapisho ya…
WWDC 2022: MacBook Air yenye Chip ya Apple M2 Yatangazwa
Moja ya matangazo makubwa leo siku ya kwanza ya WWDC 2022 ni pamoja na, hatimaye MacBook Air yenye Chip ya…
TikTok inafanyia majaribio kipengele cha ‘Clear Mode’ ili Kutazama Bila Usumbufu
TikTok inafanyia majaribio kipengele cha 'Clear Mode' ili Kutazama Bila Usumbufu. Kipengele hiki kitaruhusu uwezo wa ku scroll bila usumbufu kwenye…
WhatsApp kuruhusu kuhariri ujumbe uliotumwa hivi karibuni
Kwa muda sasa watumiaji wametamani kuwepo na kipengele cha WhatsApp kuruhusu kuhariri ujumbe uliotumwa. Hatimaye WhatsApp wanaongeza kipengele ambacho sisi…
WhatsApp kuruhusu uondoke kwenye vikundi kimya kimya bila kuwaarifu wengine
Kwa miezi kadhaa sasa WhatsApp inaonekana kugonga vichwa vya habari kwa kuleta vipengele vipya na maboresho mengine wanayokuja nayo. Hivi…