Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook
Mkurugenzi Mtendaji wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza leo kuwa kampuni ya Meta imeanza kutoa huduma ya uthibitisho (blue tick) ya…
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi
Mtandao maarufu wa kijamii,Instagram, umetangaza rundo la vipengele vipya kwa watumiaji wa Android. Kampuni mama ya Instagram, Meta, ilitangaza katika…
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads
Ni mwaka mmoja tangu kuungurama kwa kesi kati ya kampuni Michezo ya Epic Games dhidi ya Apple kuhusu duka lake…
Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji
Ramani, kampuni yenye makao makuu yake nchini Tanzania, imejikita kwenye kujenga mtandao wa vituo vidogo vya usambazaji wa bidhaa zenye…
Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti Tanzania robo ya kwanza 2023
Kampuni ya Starlink inayotoa huduma za intaneti kupitia satelite, yenye makao makuu yake makuu huko Hawthorne, California, inatarajiwa kuanza kutoa…
BasiGo imekusanya dola milioni 6.6 kuleta mabasi ya umeme Kenya
Kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa magari ya umeme ya BasiGo, inayofanya shuguli zake nchini Kenya, imekusanya takribani dola za kimarekani…
Elon Musk aghairi kuinunua Twitter kwa dola bilioni 44
Katika faili mpya ya SEC Ijumaa Julai 8, Twitter ilichapisha barua iliyopokea kutoka kwa timu ya kisheria ya Elon Musk…
Twitter inafanyia majaribio CoTweets Kukuruhusu kuTweet Pamoja na Marafiki
Twitter imeanza kujaribu uwezekano wa kuruhusu watumiaji kuchapisha tweets pamoja. Kipengele hiki kimepewa jina la CoTweets, kipengele hiki kitaruhusu mtu…
Internet Explorer yapumzishwa baada ya miaka 27
Hatimaye, Internet Explorer yapumzishwa baada ya miaka 27. Kampuni kubwa ya teknolojia ya Microsoft rasmi "imestaafisha" kivinjari chake cha wavuti…
iOS 16 Imezinduliwa kwenye WWDC 2022
iOS 16, ndio toleo jipya la mfumo endeshi wa simu za iPhone kutoka Apple. iOS 16 Imezinduliwa kwenye WWDC 2022,…