Apple imetangaza kuboresha Programu za iPhoneX

Imeandikwa na Kato Kumbi
Apple Imetangaza Kuboresha Programu Za Iphonex

Kampuni ya Apple inayozalisha simu za iPhone imetangaza kuboresha Programu kwenye App Store kuweza kusupport edge to edge display na iPhoneX norch.

Apple Imetangaza Kuboresha Programu Za Iphonex

Apple imetangaza itafanya maboresho hayo kwenye mfumo endeshi wa ios 11.3, kwa maana kwamba waendeshaji wa programu ya IOS watahitaji (App Developers) kuunda Programu ambazo zitawezesha edge to edge display, norch na Retina display.

Bado tarehe kamili ya maborehso hawajatangaza japo inategemewa mpaka mwishoni wa mwezi wa nne maboresho hayo yawe yamekamilika.

Tufuatilie kwenye mitandao mbali mbali ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye FacebookTwitterInstagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa [email protected]

Acha Ujumbe