Kampuni ya Apple inatarajia kuongeza kipengele cha FaceID kwenye kifaa cha iPad

Diana Benedict Maoni 145
Kwa habari zilizotufikia mtaawasaba kutoka vyanzo vyetu mbali mbali vya habari ni kwamba Kampuni ya Apple inatarajia kuongeza kipengele cha FaceID kwenye kifaa cha iPad kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2018.

face id v touch id facemain thumb800 1

Simu ya kwanza kuzinduliwa ikiwa na kipengele cha ulinzi cha FaceID ni iPhoneX wengine wanaita iPhone 10, Japo bado hazijaanza kununuliwa Official kwenye store za Apple, Event ya Apple WWDC September ndio ilizinduliwa iPhone X.

IMG 0297 1

Kwa namna nyigine Apple inatarajia kuunda iPad hizokatika mfumo ule kama wa iPhoneX (Bezel less display au Edge to Edge display) Design!

Endelea kutufuatilia @MtaawaSaba ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa [email protected]

Mwandishi Diana Benedict Mwandishi
Mitandao ya Kijamii
Diana Benedict. Digital Creator | IT Specialist | Graphics Designer | Web Designer | Web SEO | Contents Management | UI/UX Designer and Social Media Management.
Maoni yako
Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive