Tayari Nokia wameshazindua simu ya Nokia 6 (2018) inayotengenezwa kwa leseni na kampuni ya HMD Global. Unaweza soma makala inayohusu uzinduzi huo hapa. Hebu tuone sifa za simu hii na gharama zake.
Mitandao na Programu endeshi
- 2G: GSM, GPRS, EDGE 850 / 900 / 1800 / 1900MHz
- 3G: HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 MHz
- 4G: LTE Frequency Band 1(2100) / 3(1800) / 5(850) / 7(2600) / 8(900) / 20(800) / 28(700) / 38(2600) / 40(2300)
- Aina ya SIM: Nano SIM mbili (dual)
- Mfumo endeshi: Android 7 Nougat inayoweza kupandishwa mpaka Android 8 Oreo
Muundo
- vipimo: milimita 148.8 x 75.8 x 8.15
- Uzito: gramu 172
- Kioo: kina ukubwa wa inchi 5.5, na pixeli 1920 x 1080, pia IPS LCD ambacho ni Gorilla Glass
- Sensa: Fingerprint, Accelerometer, Proximity
- Imetengenezwa kwa : Aluminiumu
- Rangi: Nyeupe na nyeusi
Kifaa
- Aina ya Prosesa: 64-bit Octa-core 2.2GHz Cortex-A53
- Jina la Prosesa: Snapdragon 630
- Prosesa ya grafiksi: Adreno 508
- RAM: 4GB
- Ujazo wa ndani: 32GB / 64GB
- Ujazo wa nje: microSD, mpaka 128GB (hybrid slot)
Kamera
- Nyuma: Megapixeli 16, auto-focus, LED flash
- Kurekodi: 1080 @ 30fps yenye teknolojia ya OZO Audio recording.
- Mbele: Megapixeli 8
Multimidia
- Mafaili inayoweza kucheza: MP3/WAV/eAAC
- Spika kubwa: Mono
- Video : MP4/MPEG4/H.263/H.264 player
- Redio ya FM: Inayo
Uunganifu
- Bluetooth: v4.2
- WiFi: Wi-Fi 802.11 b/g/n, hotspot
- GPS: ipo
- USB: microUSB v2.0, USB-C
Mengineyo
- Chaji: inachaji betri kwa kasi
- Aina ya betri na uwezo: Li-Ion 3000mAh
- Siku ya kutangazwa: Januari 5, 2018
- itaanza kupatikan: January 10, 2018
- Gharama zake kuinunua: dola za marekani $230 / $260