MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Simu zinazotumia Blackberry OS kuacha kufanya kazi kuanzia Januari 4
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Featured > Simu zinazotumia Blackberry OS kuacha kufanya kazi kuanzia Januari 4

Simu zinazotumia Blackberry OS kuacha kufanya kazi kuanzia Januari 4

Imeandikwa na Alice Kimathi Mwaka 1 uliopita
Sambaza
Simu zinazotumia Blackberry OS kuacha kufanya kazi kuanzia Januari 4
Blackberry, moja ya kampuni iliyotengeneza simu zilizojizolea umaarufu mkubwa miaka ya nyuma, imetangaza kuwa Simu zinazotumia Blackberry OS kuacha kufanya kazi kuanzia Januari 4 mwaka huu 2022.

Taarifa hii ya kusitisha kufanya kazi kwa simu zote zinazotumia mfumo endeshi wa Blackberry Os unahusisha simu zote zenye mfumo wa Blackberry 7.1 na kurudi nyuma, hata hivyo vifaa vyenye Blackberry 10 na Blackberry Playbook OS 2.1 kurudi nyuma zitapoteza uwezo muunganisho wa WI-Fi kufanya kazi kama kawaida.

Vifaa hivi vitakosa uwezo wa kupata masasisho ya moja kwa moja na huduma zingine za namna hiyo ikiwemo uwezo data, kupiga na kupokea simu, na uwezo wa simu za dharura polisi 991. Pia huduma za BlackBerry Link, BlackBerry Desktop Manager, na BlackBerry Blend hazitaweza fanya kazi kama kawaida.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

usitishwaji wa huduma na miundombinu hii pia itaathiri ufanyaji kazi wa pp zingine kama  Enhanced Sim Based Licensing (ESBL) / Identity Based Licensing (IBL), BlackBerry hosted email addresses, BlackBerry Link, BlackBerry Desktop Manager, BlackBerry Blend, BlackBerry Protect (inayowezesha mtumiaji kuifunga simu, kutafuta au kufuta data za BlackBerry OS, na BlackBerry 10 bila kuwa na simu.

huduma zingine za ulinzi wa artificial intelligency hazitaathirika na usitishwaji huu wa huduma.

Simu na vifaa vingine vya Blackberry vinazotumia mfumo endeshi wa Android havitaathirika na usistishwaji huu wa huduma, isipokuwa huduma ya barua pepe iliyoelekezwa kwenye anwani za barua pepe zinazosimamiwa na Blackberry au ambazo zinatumia huduma ya ESBL na IBL.

kufuatia mwisho wa huduma hizi, watumiaji wa huduma za barua pepe zinazosimamiwa na Blackberry watalazimika kuhamia kwenye barua pepe mpya. Kwa wanaotumia vifaa vya iOS au Android na wanatumia huduma zilizokuwa zinapewa leseni na Blackberry watalazima kupata leseni mpya kwa mifumo wanayotumia.

Kwa wale ambao bado wanatumia vifaa vyenye Blackberry Os wanaweza kutembelea ukurasa wa BlackBerry’s FAQ section ili kupata ufafanuzi wa maswali yawaliyo nayo.

Mwaka 2015, Blackberry waliacha kutengeneza vifaa vinavyotumia Blackberry OS na kuhamia kwenye mfumo endeshi wa Android kwenye simu na tableti zao.

Miaka ya karibuni kampuni ya Blackberry imehama katika kutengeneza vifaa kama simu na tableti na kujikita zaidi kwenye utengenezaji wa software hasa hasa software za ulinzi na huduma kwa mashirika makubwa na serikali mbalimbali duniani

KWENYE Blackberry
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?