Sasa Programu ya ChatGPT kupatikana na watumiaji wa Android
OpenAI kampuni nyuma ya programu saidizi ya akili bandia imetangaza kuwa itatoa programu ya ChatGPT kwa watumiaji Android. Programu hiyo…
Windows Copilot inachukua nafasi ya Cortana kama ‘msaidizi wa kibinafsi’ wa AI kwenye Windows 11
Microsoft imeongeza kipengele cha programu saidizi yenye akili bania iliyopewa jina la Windows Copilot kwenye mfumo endeshi wake. Kipengele hiki kipya…
Sasa unaweza kuhariri ujumbe wa WhatsApp baada ya kutuma
WhatsApp sasa itaruhusu watumiaji kuhariri ujumbe baada ya kutuma, kipengele hiki sio kipya kwani kinapatikana kwenye programu zingine za ujumbe,…
YouTube kuongeza nguvu kuzuia wanaotumia Ad Blocker
YouTube kuongeza nguvu kuzuia wanaotumia Ad Blocker ku-block matangazo ya YouTube. Taarifa hii ilianza kusambaa kwa mara ya kwanza na mtumiaji wa…
Programu 6 Bora za Kuhariri Picha kwenye simu za Android (2023)
Katika chapisho hili, tutajadili kuhusu programu zinazotumika uhariri wa picha kwa watumiaji wa Android. Unaweza kutumia programu hizi kuboresha muonekano…