Fuatilia Live: Uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 na S9 Plus

Imeandikwa na Alexander Nkwabi
Fuatilia Live: Uzinduzi Wa Samsung Galaxy S9 Na S9 Plus

Kongamano la Mobile World Congress tayari limeanza na kampuni kadhaa zimeshatangaza simu zao. Fuatilia mubashara tamasha la uzinduzi wa Samsung Galaxy S9 na S9 Plus lililopewa jina la Samsung Galaxy Unpacked 2018

Maoni 1