Google inatarajia kuzindua simu mbili za Pixel mwanzoni mwa mwezi Oktoba

Mwandishi Diana Benedict
Wakati kampuni za Samsung na Apple zikiwa zimezindua simu zake mwanzoni mwa mwezi wa tisa, Google inatarajia kuzindua simu mbili mwanzoni mwa mwezi Oktoba 2017.

untitled.5236 Mwaka 2016, Octoba 4 Google iliacha kutumia brand name ya simu zake za zamani Google Nexus na kuanza kutumia Brand Name ya Google Pixel na Google Pixel XL na kuziingiza sokoni, kutokana na device hizo kufanya vizuri, Kampuni ya Google inatarajia kuzindua Google Pixel 2 na Google Pixel XL 2.

Google Pixel XL 2 leak header

Muundo wa simu hizi mbili zinatarajiwa kufanana na Simu za Samsung S8, Note 8 na iPhone X. Kupitia ukurasa wa Android Authority simu hizi zitakuwa Manufactured na Kampuni ya LG kwa Google Pixel XL 2 na HTC kwa Google Pixel 2.

Tufuatilie @MtaaWaSaba kwenye Twitter, Facebook, instagram, Google+ na YouTube kwa habari zaidi, Pia usisite kututumia maoni yako mhariri@mtaawasaba.com

Mwandishi Diana Benedict Mwandishi
Mitandao ya Kijamii
Diana Benedict. Digital Creator | IT Specialist | Graphics Designer | Web Designer | Web SEO | Contents Management | UI/UX Designer and Social Media Management.
Maoni yako
Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive