Hakikisha unaipa ulinzi Computer yako: Antivirus hizi ni bora na za bure kupakuliwa mwaka 2018

Imeandikwa na Kato Kumbi
Hakikisha Unaipa Ulinzi Computer Yako: Antivirus Hizi Ni Bora Na Za Bure Kupakuliwa Mwaka 2018

Programu ya Antivirus ni moja ya mambo ya kwanza ambayo unapaswa kuweka kwenye PC mpya, na ulinzi wa ubora wa juu unaweza kuwa wako bure kabisa. Tumekuletea programu bora ya usalama bure kabisa ili ujue kwamba unapata ulinzi bora zaidi kwa data zako na maelezo yako ya kibinafsi.

Hakikisha Unaipa Ulinzi Computer Yako: Antivirus Hizi Ni Bora Na Za Bure Kupakuliwa Mwaka 2018

Watumiaji wa Mifumo ya uendeshaji ya Windows husuaani Windows 10, Wamekuwa wakipata tatizo la kushambuliwa ma Virus na kudukuliwa kwa Data zao wanapotumia mtandao kwwnye PCs zao na kushindwa kujua namna ya kuzuia kwa kushindwa gharama za Programu za Ulinzi.

Mtaawasaba inakuletea baadhi ya Antvirus za bure kwa ajili ya ulinzi wa Computer yako.

Hakikisha PC yako inalindwa bila kulipa gharama yoyote!

1: Avast Free AntVirus

Hakikisha Unaipa Ulinzi Computer Yako: Antivirus Hizi Ni Bora Na Za Bure Kupakuliwa Mwaka 2018

Toleo la hivi karibuni la Avast Free Antivirus linaongeza kipengele kitakachokuwezwsha kupunguza Poputs za matangazo unapotembelea websites mbali mbali, Pamona na hivyo imepewa interface ambayo ni rahisi na uwezo wa kutunza nywila.

Unaweza kuipakua Avast Antvirus Kubonyeza Hapa 

2: Bitdefender Antvirus Free Edition

Hakikisha Unaipa Ulinzi Computer Yako: Antivirus Hizi Ni Bora Na Za Bure Kupakuliwa Mwaka 2018

Bidefender Antvirus Free Version nayo ni moja kati ya antvirus bora katika PC yako kwa kufanya mabadiriko makubwa, kuomgeza kasi ya computer yako.

Unaweza kupakua Bitdefender Antvirus Free 2018 kwa Kubonyeza Hapa

3: Kaspersky Free

Hakikisha Unaipa Ulinzi Computer Yako: Antivirus Hizi Ni Bora Na Za Bure Kupakuliwa Mwaka 2018

Kwa mara ya kwanza mwaka 2018 kaspersky wametoa free version ya Antvirus mwaka mzima bila malipo yoyote yenye kutoa ulinzi wa kawaida kwenye computer yako, Japo ni tofauti na ile ya kulipia.

Unaweza ipakua kwa Kubonyeza Hapa

Usisite kututumia ujumbe au maoni yako hapo chini, Kumbuka kujaza Jina lako na kuweka email yako kupata habari nyingi zaidinya hizi kupitia mtaawasaba.com

Acha Ujumbe