Intel kuleta Chip za Laptops za 5G mwaka 2019

Mwandishi Diana Benedict
intel kuleta Chip za Laptops za 5G ikishirikiana na Microsoft, HP, Dell, na Lenovo. Microsoft ina jitihada ya kuwahimiza wazalishaji wa Computer kama washirika wa Mfumo endeshi wa Windows kushirikiana na intel kuleta Personal Computer (PC) zenye Chip za 5G mwaka 2019.

intel kuleta Chip za Laptops za 5G

Intel inasema tayari wameshandaa Demo ya Computer yenye uwezo wa Core i5, Detachable 2 in one PC katika maonesho ya #MWC 2018 ambayo itakuwa inatumia Chip ya 5G ambayo itatumika kuonesha streaming kwa njia ya video kwenye mtandao wa 5G.

Endelea kuwa nasi kwa kutufuata kwenye mitandao ya kijamii, na usisahau ku subscribe ili uwe wa kwanza kupata Habari, Uchambuzi na Makala mbali mbali za kisayansi na teknolojia. Pia usisahau ku acha maoni yako hapo chini na unaweza kuwasiliana nasi kwa barua pepe mhariri@mtaawasaba.com

MADA:
Mwandishi Diana Benedict Mwandishi
Mitandao ya Kijamii
Diana Benedict. Digital Creator | IT Specialist | Graphics Designer | Web Designer | Web SEO | Contents Management | UI/UX Designer and Social Media Management.
2 Comments

Trending on Mtaawasaba

Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive