MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Njia rahisi ya kuzuia Automatic Updates za Windows 10
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Chaguo la Mhariri > Njia rahisi ya kuzuia Automatic Updates za Windows 10

Njia rahisi ya kuzuia Automatic Updates za Windows 10

Imeandikwa na Kato Kumbi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
Njia Rahisi Ya Kuzuia Automatic Updates Za Windows 10
Sasisho za programu za Windows 10 hujiweka zenyewe kwenye kifaa chako cha Windows 10 moja kwa moja iwe unapenda au hupendi, lakini mwongozo huu unaangazia Njia Rahisi Ya Kuzuia Automatic Updates Za Windows 10

Njia rahisi ya kuzuia Automatic Updates za Windows 10

Mfumo wa Uendeshaji wa Windows 10 huna udhibiti kamili juu ya sasisho za programu zake. Windows 10 ni kupakua na kuinstall moja kwa moja ili kuhakikisha kifaa chako kinaendelea kupata patches za hivi karibuni za usalama na maboresho. Ni jambo zuri kwa Kifaa chako kupata Sasisho mpya za usalama lakini kwa upande mwingine imekuwa kikwazo kwa baadhi ya watumiaji wa Mfumo huo wa uendeshaji hasa katika utumiaji wa Data.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti Tanzania robo ya kwanza 2023

Ikiwa unatumia Mfumo wa uendeshaji wa Windows 10 inawezekana kurejesha udhibiti na kuzuia Mfumo wa uendeshaji kupakua na kusakinisha sasisho moja kwa moja kwa kutumia script hii ndogo na rahisi.

Video hii itakuelekeza njia hii rahisi

  1. Ipakue CMD file hii na extract kwenye desctop yako

Njia rahisi ya kuzuia Automatic Updates za Windows 10

  1. Run Auto-Update-Enable_Disable-Win10 na kisha itaomba ruhusa ya Administration ya Computer yako, utakubali kisha ubonyeze Y kwenye keyboard yako
  2. Bonyeza key yoyote kuondoka na mpaka hapo utakuwa tayari umefanikiwa kuzima sasisho za kujiinstall zenyewe kwenye mfumo wako wa uendeshaji.

kama unatumia Windows 11 unaweza [irp posts=”25038″ name=”Jinsi Ya Kuzuia Automatic Updates kwenye Windows 11″]

Tufuatilie kwenye mitandao mbali mbali ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa [email protected]

KWENYE maujanja, Windows 10
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?