Project Linda: Kifaa kinachoibadilisha Simu yako ya Razer Phone kuwa Laptop

Mwandishi Diana Benedict

Katika Maonesho ya CES 2018 kampuni ya Raser imeonesha kifaa chake kipya kitakachoifanya simu ya Razer kuwa laptop inayokuwezesha kufanya kazi nyingi kuliko simu.

razer project linda laptop ces 2018 7594

Tuliona hapo mwaka 2017,Kampuni ya Samsung ilizindua kifaa kinachoitwa SamsungDEX ambacho kinaifanya simu ya Samsung S8, S8+ na Note 8 kuwa katika mfumo wa desktop, Kwa Razer Peoject Linda imwkuwa tofauti kwa kuifanya Simu hiyo Kuwa Desktop. Kitu kikubwa nilichokipenda zaidi katika Razer Project Linda ni kuifanya kioo cha simu hiyo kama Trackpad.

Rezer Project Linda inaongeza kazi za Simu hiyo kama kuongeza storage, Kifaa hicho kina Uwezo hadi wa kufikia 1TB na Battery ya Ziada itayoicharg simu yakomwakati wa matumizi, Huna haja ya kuwaza kupungiwa na charg katika Simu yako kwakuwa USB-C iliyowekwa katika Kifaa hichi kitakuongezea charg wakati wa kutumia na kuendelea na kazi zako za Simu ya kawaida.

Razer Project Linda

Razer bado hawajatangaza kama wameplan kuingiza sokoni kifaa hicho, Na bado bei ya kifaa hicho hakikuweza kujulikana.

Unaweza angalia video hii kutoka The Verge kukitambua zaidi.

 

 

Mwandishi Diana Benedict Mwandishi
Mitandao ya Kijamii
Diana Benedict. Digital Creator | IT Specialist | Graphics Designer | Web Designer | Web SEO | Contents Management | UI/UX Designer and Social Media Management.
Maoni yako
Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive