MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Samsung yaripoti kusitisha uzalishaji wa Vioo vya OLED vya iPhone X
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Habari > Samsung yaripoti kusitisha uzalishaji wa Vioo vya OLED vya iPhone X

Samsung yaripoti kusitisha uzalishaji wa Vioo vya OLED vya iPhone X

Imeandikwa na Kato Kumbi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
Samsung yaripoti kusitisha uzalishaji wa Vioo vya OLED vya iPhone X

Kutokana na Mauzo ya Simu za iPhoneX kushuka kampuni ya Samsung ambayo ndiyo iliyokuwa inazalisha vioo vya iPhoneX (OLED Display), Kampuni hiyo imeripoti kuacha kuzalisha vioo vya OLED vya iPhoneX badala yake itaanza kuzalisha vioo vya mwanga wa kikaboni vya LCD.

Samsung yaripoti kusitisha uzalishaji wa Vioo vya OLED vya iPhone X

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti Tanzania robo ya kwanza 2023

Samsung ilifanya maamuzi hayo kutokana na makubaliano ya uuzaji wa iPhoneX kufikia  simu milioni 45 hadi 50. Na sasa Samsung inafanya mpango wa kuzalisha vioo vyenye mwanga wa kikaboni kwa iPhones milioni 20 hadi mwisho wa mwezi wa tatu.

Mauzo kupungua ya simu hiyo imeripotiwa kuwa gharama ya simu ya iPhone X kuwa kubwa kulinganisha na wasifu wa simu hiyo kuwa bei yake haiendani na gharama za uuzwaji wa simu hiyo.

Endelea kuwa nasi kwa kutufuata kwenye mitandao ya kijamii, na usisahau ku subscribe ili uwe wa kwanza kupata Habari, Uchambuzi na Makala mbali mbali za kisayansi na teknolojia. Pia usisahau ku acha maoni yako hapo chini na unaweza kuwasiliana nasi kwa barua pepe [email protected]

 

KWENYE Apple
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Maoni 2
  • Avatar of Victor Dronee Victor Dronee anasema:
    Miaka 5 iliyopita kwa 23:51

    Kati ya iphonex na samsung note8 ipi yenye uwezo kuzidi nyingne?

    Jibu
    • Avatar of Kato Kumbi Kato Kumbi anasema:
      Miaka 5 iliyopita kwa 23:55

      kila moja ina uwezo katika vipengele vyake, mfano kwenye camera iphone x imeshinda katika ubora wa picha kushinda samsung note 8, lakini katika speed note 8 inaongoza

      Jibu

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?