Baada ya mwezi march Application ya Twitter itaacha kufanya kazi kwenye Mfumo Endeshi wa Mac.
Kupitia akaunti yake ya Twitter leo imetangaza kuiondoa na kuacha kutoa kabisa programu hiyo katika Mac App Store. ”Tunasisitiza jitihada zetu kwenye uzoefu mkubwa wa Twitter ambao ni thabiti katika jukwaa la wadau. Kwa hiyo, kuanzia leo programu ya Twitter kwa Mac haitapatikana tena kwa kupakuliwa, na katika siku 30 haitatumika tena.”
Tufuatilie kwenye mitandao mbali mbali ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa [email protected]