MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Usichokijua kuhusu WhatsApp Business kwa ajili ya Wajasiriamali wadogo.
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Apps > Usichokijua kuhusu WhatsApp Business kwa ajili ya Wajasiriamali wadogo.

Usichokijua kuhusu WhatsApp Business kwa ajili ya Wajasiriamali wadogo.

Imeandikwa na Kato Kumbi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
Usichokijua kuhusu WhatsApp Business kwa ajili ya Wajasiriamali wadogo.

Kipindi kichache kilichopita WhatsApp ilizindua Programu yao mpya ya WhatsApp Business inayowawezesha wafanya Biashara wadogo wadogo kuweza kuendesha Biashara zao kupitia mtandao huo wa WhatsApp. Leo nimekuletea  Baadhi ya vipengele vipya ambavyo havipatikani kwa mtumiaji wa whatsapp ya kawaida;

Usichokijua kuhusu WhatsApp Business kwa ajili ya Wajasiriamali wadogo.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Kuacha Ujumbe Pale unapokuwa uko mbali na Simu.

Japo sio kitu kipya katika mitandao ya kijamii ikiwepo Facebook Messenger ndio ilianzisha huduma hiyo ya kuacha ujumbe mfupi (Welcome Message). Kipengele hiki kinaweza kukufanya uweze kuset aina ya ujumbe unaotaka umfikie mteja wako pale anapokutumia ujumbe na kuweza kumjibu papo hapo utakapokuwa uko mbali na simu yako.

Wasifu wa Biashara

Kwa kutumia WhatsApp Business utaweza kuweka wasifu wa biashara yako na maelezo mengine ya Biashara inapopatikana na kazi unazozifanya na website ya biashara yako

Usichokijua kuhusu WhatsApp Business kwa ajili ya Wajasiriamali wadogo.

Kudhibiti Miamala

Whatsapp Business inakuwezesha kudhibiti miamala ya wateja wako kwa kutambua mteja mpya, mteja aliyelipa na mteja ambaye bado hajalipa katika biashara hiyo.

Kwa sasa Programu ya Whatsapp Business inapatikana kwa simu za Android tu unaweza ipakuwa hapa

Usichokijua kuhusu WhatsApp Business kwa ajili ya Wajasiriamali wadogo.

Tufuatilie kwenye mitandao mbali mbali ili usipitwe na Habari, Uchambuzi naMakala mbali mbali ya mitanadoni na ya kiteknolojia kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Google+ na Youtube, Pia usisite kutoa maoni yako hapo chini au tuandikie barua pepe kwa [email protected]

KWENYE Whatsapp Business
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Maoni 3
  • Avatar of Football News Football News anasema:
    Miaka 5 iliyopita kwa 20:44

    Umetisha mzee baba kwa habari big up

    Jibu
  • Avatar of nyc nyc anasema:
    Miaka 5 iliyopita kwa 14:20

    Kuna mpango wowote wa malipo kwa huduma hii?

    Jibu
    • Avatar of Kato Kumbi Kato Kumbi anasema:
      Miaka 5 iliyopita kwa 15:15

      hapana, huduma ya whatsapp business ni free kwa sasa, bado hawajatangaza kama kuna mpango wowotw wa malipo kuhusu huduma hii

      Jibu

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?