MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Usitumie Wireless Charger kabla hujapitia hapa
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Mengineyo > Muongozo wa mtumiaji > Usitumie Wireless Charger kabla hujapitia hapa

Usitumie Wireless Charger kabla hujapitia hapa

Imeandikwa na Kato Kumbi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
Usitumie Wireless Charger kabla hujapitia hapa
Yaliyomo
1. Wireless Charger ni nini?Historia ya Wireless ChargingTeknolojia ya Wireless ChargingFaida za Wireless ChargerSimu zinazokubali Charger ya WirelessUnahitaji kuendelea kuwa na Adapter ya waya?
Karibu mtaawasaba, mtaa wa uchambuzi wa mambo yote yahusuyo teknolojia, habari mbali mbali za kiteknolojia. Leo nimekuletea uzi huu uweze kujua kuhusu Wireless Charging, Ni nini Wireless Charging, na ni Simu na vifaa gani zinaweza kutumia Wireless Charger.

Wireless Charger

1. Wireless Charger ni nini?

Wireless Charging (Chaji cha wireless) ni teknolojia ambayo inaruhusu kupakia umeme umbali mfupi bila nyaya. Pia inaojulikana kama Inductive charging au cordless charging teknolojia hii hutumia magnetiki ya umeme kuhamisha nishati kati ya vitu viwili kupitia koili zilizoundwa kupitisha umeme. Hii hufanyika baina ya kifaa kimoja kinachotoa nishati hiyo na kifaa kingine kinachopokea kwa nia ya kuchaji betri.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Usitumie Wireless Charger kabla hujapitia hapa

Historia ya Wireless Charging

Wireless charging sio kipya sana kukisikia au hata kukiona, Sasa wireless charging ya kwanza iligundulika miaka ya 1864 na James C Maxwell na miaka ya 1888 Heinrich Hertz ndio aliweza kukamilisha project hiyo na kuweza kuonesha dunia kwamba umeme unaweza kupita kwa njia ya wireless.  Japo tangu hapo kuna maboresho mengi yalifanika, siwezi kuyaeleza yote hapa cha zaidi ni kukupa faida zaidi ya hii wireless charging ndugu msomaji.

Usitumie Wireless Charger kabla hujapitia hapa

Teknolojia ya Wireless Charging

Kuna viwango mbalimbali vya chager za wireless. Inayojulikana zaidi ni Qi (inayotamkwa kama ‘chee’ neno la kichina), ambayo imetumiwa na makampuni mengi makubwa kama Apple kwenye simu zake za karibuni alizotoa za iPhone, na Samsung pia imekua ikitumia hiyo kwa miaka zaidi ya mitano sasa; Wamefanya pia aina nyingi za coil za wireless za Samsung ambazo hufanya kazi na Qi.

Usitumie Wireless Charger kabla hujapitia hapa

Faida za Wireless Charger

Unajisikiaje unarudi kutoka kazini simu yako ina 8% na mtoto wako wako kaikata ile usb cable unayotumia kuchajia? Of coz usiku huo utahitaji kuomba waya wa jirani na kama anautumia je? utahiaji usubiri kesho uende kariakoo kununua waya mwignine. Au unapaje usumbufu wa kuchomeka simu mara haiingizi au umepita katikati ya waya ukaivuta simu na kuiangusha? Basi mpaka hapo umeshawaza faida walahu moja za wireless charging. Hizi ni baadhi tu ya faida ya wireless charging.

  • Inasave muda wako ambao utaweza kuendelea kufanya mambo mengine
  • Huchaji simu kwa wakati mfupi wakati mwingine unaweza kuwa umeweka simu kwenye charg kumbe haingizi lakini huwez pata usumbufu huo kwa wireless charging

Simu zinazokubali Charger ya Wireless

Ikiwa simu yako itaonekana katika orodha hii basi kimbia haraka kariakoo kanunue wireless charging.

Apple iPhone: 8, 8 Plus, X
Samsung Galaxy: S9, S9 +, Note 8, S8, S8 +, S7, S7 Edge,Note 5, Note 7, S6, S6 Edge
LG: V30, G6 (toleo la Marekani tu), G4 , G3
Microsoft Lumia: 1520, 1020, 930, 929, 928, 920
Google: Nexus 4, 5, 6, 7, Pixel na Pixel XL 1 na 2
BlackBerry: Priv

Pamoja na kwamba nimeandika matoleo hayo, unaweza kujua kwamba simu yako ina wireless charging kwa kusoma manual inayokuja na box la simu

Unahitaji kuendelea kuwa na Adapter ya waya?

Of coz ndio, bado utahitaji kuwa na adapter ya waya kwa ajili ya kuunganisha Qi kutoka kwenye wall socket kwenda kwenye wireless charger kwani9 Qi si pekee tu kwamba inaweza kupitisha mawimbi ya umeme wireless bado itahitaji suppport ya umeme kutoka kwenye wall socket.

Natumai mpaka sasa nimekupa ushawishi wa kununua wireless charging, Endelea kuwa nami katika makala mbali mbali na pia usisahau kusubscribe kwenye chanell yetu ya YouTube upate maujana ya teknolojia kila siku.

KWENYE Apple, Blackberry, HTC, maujanja, Nokia
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
1 Comment
  • Avatar of knyaga knyaga anasema:
    Miaka 5 iliyopita kwa 21:51

    Ambacho sipendi kuhusu wireless charging ni jina lenyewe maana waya bado upo

    Jibu

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?