MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Vitu 6 vilivyogunduliwa na wanawake na kubadili dunia
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Chaguo la Mhariri > Vitu 6 vilivyogunduliwa na wanawake na kubadili dunia

Vitu 6 vilivyogunduliwa na wanawake na kubadili dunia

Imeandikwa na Alexander Nkwabi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
Vitu 6 vilivyogunduliwa na wanawake na kubadili dunia
Yaliyomo
1. Mashine ya kuoshea vyombo (Dish Washer)2. Dawa ya fangasi (Nystatin)3. Boya la kuokolea maisha (The life raft)4. Bomba la sindano5. CCTV6. Programu ya kompyuta

Tukiadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake duniani, tutajaribu kuangazia baadhi ya michango ya wanawake katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia . Orodha ni ndefu na mambo ni mengi ambayo wanawake wameweza kuishangaza dunia katika nyanja za sayansi na teknolojia. Kwa leo tutakuletea gunduzi saba ambazo zimeibadili dunia jumla.

1. Mashine ya kuoshea vyombo (Dish Washer)

86bd35c526fca6593c7212d8e63a260e.png

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Mwanamama Josephine Cochrane  mnamo mwaka 1886 alifanikiwa kuvumbua mashine ya kwanza ya kuoshea vyombo ambayo iliweza kuuzwa madukani. Mashine hiyo ambayo ilitumia presha kubwa ya maji, kigurudumu, kifaa cha kuchemshia maji, na kichanja cha kuwekea vyombo vikisubiri kukauka baada ya kuoshwa. Hata hivyo mwanamama huyu hakuweza kuutumia ugunduzi wake japo alifanya maisha ya wafanyakazi wake kuwa rahisi.

2. Dawa ya fangasi (Nystatin)

elizabeth_lee_hazen_rachel_fuller_brown_1950s
Dawa hii ya fangasi ambayo imesaidia mamilioni ya watu duniani kote, ni zao la ugunduzi wa wanawake wawili Elizabeth Lee Hazen na Rachel Fuller Brown ambao walikuwa wakifanya utafiti juu ya bakteria ambao walikuwa wanaua fangasi. Dawa hiyo waliipa jina la Nystatin kwa heshima ya mji waliokuwa wanatoka New York State.
Dawa hii imekuwa msaada mkubwa kutibu fangasi wa aina nyingi ikiwemo muwasho utakanao na nepi kwa watoto, fangasi wa ukeni kwa wanawake na aina zingine.

3. Boya la kuokolea maisha (The life raft)

Life_raft-e1432759820375

Boya hili liligunduliwa na mwanamama Maria Beasely mnamo mwaka 1882 baada ya siku moja kutazama baharini na kusema “watu hawatakiwi kufa kwenye chombo cha usafiri wa maji” kisha akabuni kifaa hicho ambacho kinaendelea kutumika mpaka leo japo kinafanyiwa maboresho ya hapa na pale.

4. Bomba la sindano

6-inventions

Bomba la sindano ni moja ya maajabu ya matibabu ya kisasa, mnamo mwaka 1899 mwanamama Letitia Geer alibuni bomba la sindano ambalo liliweza kushikwa mkono mmoja.

5. CCTV

020516-b-real-achievement-things-you-didn-t-know-were-invented-by-a-black-woman-security-camera

Kutokana na tatizo la wizi lililokithiri na polisi kuwa wazito katika kabiliana na wezi katika jiji la New York, mnamo mwaka 1969 Mwanamama Marie Van Brittan Brown alibuni mfumo wa ulinzi kwa kutumia kamera ambao unamruhusu mtumiaji kuona kinachoendelea kupitia kwenye runinga akiwa ndani ya nyumba. Ugunduzi wake ndio mwanzo wa mifumo ya kisasa ya CCTV inayotumika majumbani na polisi mpaka sasa.

6. Programu ya kompyuta

grace-hopper-1

Mnamo mwaka 1944 Dr. Grace Hopper alifanya ubunifu wa kompyuta katika chuo cha Havard iliyopewa jina la Mark I, kompyuta hii iliyokuwa na uzito wa tani tano na ukubwa wachumba kizima.  Yeye ndio mwanzilishi wa neno “bug” akimaansha tatizo lililo kwenye programu ya kompyuta na neno “debugging” baada kuwa kuwatoa dudu washa waliokuwa wameingia ndani ya kompyuta hiyo.

Mama huyu programa wa kompyuta ndie mbunifu wa lugha ya kompyuta ya COBOL (kirefu chake ni COmmon Business-Oriented Language) ambayo mpaka leo hii bado inatumika.

Mjadala kuhusu wanawake waliofanya mambo makubwa katika nyanja za sayansi na teknolojia nchini na hata nje ya nchi unaweza kuendelea hapo chini kwenye box la maoni. Tupe maoni yako pia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, facebook na Instagram kupitia akaunti yetu ya mtaawasaba.

KWENYE siku ya wanawake duniani, wanawake na teknolojia
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?