MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma VLC 3.0 toleo jipya lenye ku support Chromecast, Video za 8K na HDR
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Apps > VLC 3.0 toleo jipya lenye ku support Chromecast, Video za 8K na HDR

VLC 3.0 toleo jipya lenye ku support Chromecast, Video za 8K na HDR

Imeandikwa na Alexander Nkwabi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
VLC 3.0 toleo jipya lenye ku support Chromecast, Video za 8K na HDR

VLC ni moja ya zawadi kubwa ya open-source. Ni moja kati ya media player ya kipekee ambayo iko stable, nyepesi kufunguka, isiyo na matangazo kabisa na inayocheza karibia kila aina ya mafaili ya muziki hata video na picha.

VideoLan kampuni iliyo nyuma ya VLC leo imachia toleo la 3.0 lililopewa jina la “Vetinari” la media player hii maarufu kwenye mifumo endeshi ya kompyuta na vifaa vya mkononi ikiwemo: Windows (ARM, x86, x64), macOS, Linux, Android, iOS, Android TV, Apple TV, bila kusahau Chrome OS. Ambapo toleo hili limetumia code moja kwa mifumo endeshi yote iliyotengenezwa. Unaweza ku download toleo hili jipya hapa: Android, iOS, na mifumo endeshi mingine hapa.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Kwa mujibu wa Jean-Baptiste Kempf, ambae ndio raisi wa VideoLan akiongea na mtandao wa VentureBeat amesema, toleo la 3.0 limekuja na vitu vingi vipya, kurekebisha makosa kama 1500 na marekebisho mengine zaidi ya 20,000. Na imechukua zaidi ya miaka mitatu ya kazi ya kujitolea kutoka kwa wachangiaji mbalimbali duniani kote tangu toleo la mwisho lilitoka Februari 2015.

chromrcast

Kabla hatujangaalia baadhi ya vitu vipya, inaweza kuwekwa kwenye mifumo endeshi ya zamani ikiwemo Windows XP na kuendelea, macOS 10.7 na kuendelea, Android 2.3 na kuendelea, Chromebooks ambazo zina Play Store, Apple TV, na Linux. Kwa mujibu wa bwana Jean-Baptiste Kempf, baadhi ya mifumo endeshi ndio litakuwa toleo la mwisho kuwekwa, VLC 4.0  haitaweza kuwekwa kwenye Windows XP na Vista, macOS 10.7 na 10.8, bila kusahau Android 2.x na 3.x.

carousel-3.0-360

Vitu vitano vikubwa vilivoongezwa kwenye VLC 3.0

  1. Uwezo wa ku Stream kwenye Chromecast
  2. Uwezo wa kucheza video za HDR na 10bit
  3. Uwezo wa kucheza video zilizo kwenye mfumo wa nyuzi 360 na  sauti zilizo kwenye mfumo wa 3D
  4. Uwezo wa kucheza video za 4K na 8K bila kukwama
  5. Uwezo wa kupekua na kucheza mafaili yaliyo kwenye local network kama SMB, FTP, SFTP, NFS, na nyinginezo.

Sio hizi tu, kuna vipya lukuki vilivyo ongezwa kwenye toleo hili jipya la VLC 3.0. Ili uwezo kuona vitu vyote vilivyoongezwa, tembelea ukurasa maalumu uliowekwa kwa ajili ya toleo hili jipya hapa

KWENYE Chromecast, HDR, VideoLan, VLC
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?