Android Go Edition: Android Oreo kwa simu za hali ya Chini

Mwandishi Diana Benedict
Kampuni ya Google imetangaza kuungana na makampuni ya kuzalisha simu kutoa Mfumo Endeshi wa simu za mkononi Android Go Edition kwa simu zilizo na RAM chini ya 1Gb.

Kupitia Blog ya Habari ya Google ilitanzangaza na kusema imeamua kutoa Toleo la Android Go ambayo itaweza kusupport programu za sasa ili kutimiza lengo la kuzalisha smartphone za bei rahisi kununuliwa na watu wa hali ya chini.

android go

”Mwaka jana tulianzisha Android Oreo (Go Edition), toleo la Android Oreo lililopendekezwa kwa simu za mkononi za chi ya 1GB ya RAM na kwa kiasi kidogo cha uhifadhi na nguvu za utunzaji umeme, simu hizi ni za gharama nafuu kwa wazalishaji na zinaweza kuuzwa kwa bei nafuu, wakati mwingine hata kufikia chini ya dola 50.” Kama Laki moja na 15 kwa fedha za Kitanzania, Android Go itaweza kufanya kazi kama Toleo la Android Oreo ambayo itaweza kusaidia programu za kisasa kujiendesha vizuri tofauti na Matoleo yaliyopita

Endelea kuwa nasi kwa kutufuata kwenye mitandao ya kijamii, na usisahau ku subscribe ili uwe wa kwanza kupata Habari, Uchambuzi na Makala mbali mbali za kisayansi na teknolojia. Pia usisahau ku acha maoni yako hapo chini na unaweza kuwasiliana nasi kwa barua pepe mhariri@mtaawasaba.com

Mwandishi Diana Benedict Mwandishi
Mitandao ya Kijamii
Diana Benedict. Digital Creator | IT Specialist | Graphics Designer | Web Designer | Web SEO | Contents Management | UI/UX Designer and Social Media Management.
1 Comment
Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive