MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Apple waachia iOS 11.2.6 kutatua tatizo linaloharibu iPhone
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Apps > Apple waachia iOS 11.2.6 kutatua tatizo linaloharibu iPhone

Apple waachia iOS 11.2.6 kutatua tatizo linaloharibu iPhone

Imeandikwa na Alexander Nkwabi Miaka 5 iliyopita
Sambaza
Apple waachia iOS 11.2.6
Apple waachia iOS 11.2.6 kutatua tatizo linaloharibu iPhone. Mapema mwezi huu kumetokea tatizo kubwa lililokumba simu za iPhone. Neno la kihindi (Telugu) ambalo likiandikwa kwa kutumia app kama iMassage, WhatsApp, Pamoja na FB Messenger lilisababisha kukwama na kushindwa kufanya kazi kabisa.

telugu-bug-800x673

 

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Tatizo hili limegundulikwa juma lililopita ambapo mtu yoyote aliyetuma neno hilo lilisababisha simu kukwama na hata kumzuia mtumiaji kutumia app za kutuma ujumbe. Tatizo hili limeathiri pia kisakuzi cha Safari na app zingine zenye huduma ya kutuma ujumbe kwenye macOS na Apple watch.

Leo Apple wameachia iOS 11.2.6, kama sasisho la mfumo endeshi iOS 11. Kati ya maboresho yaliyokuja na sasisho hili, ni pamoja na kutatua tatizo hili ambalo limezikumba simu za iPhone.

update

Na kwa kuwa tatizo hili limekumba pia kisakuzi cha Safari na app zingine zenye huduma ya kutuma ujumbe kwenye macOS na Apple watch, Apple wameamua kuachia sasisho kama hili kwa mifumo endeshi mingine ikiwemo watchOS, tvOS, na macOS ili kuzuia tatizo hili kujitokeza tena.

Utatuzi wa tatizo hili haujaangalia lughaa ya kihndi (telugu) pekee, bali imezingatia kurekebisha hata kwenye lugha zingine.

Endelea kuwa nasi kwa kutufuata kwenye mitandao ya kijamii, na usisahau ku subscribu ili uwe wa kwanza kupata Habari, Uchambuzi na Makala mbali mbali za kisayansi na teknolojia. Pia usisahau ku acha maoni yako hapo chini na unaweza kuwasiliana nasi kwa barua pepe [email protected]

 

 

KWENYE Apple, apple watch, Telugu bug
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?