MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Kampuni ya Facebook mbioni kubadili jina
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Habari > Kampuni ya Facebook mbioni kubadili jina

Kampuni ya Facebook mbioni kubadili jina

Imeandikwa na Alice Kimathi Mwaka 1 uliopita
Sambaza
Kampuni ya Facebook mbioni kubadili jina
Kupitia ripoti iliyochapishwa na mtandao wa The Verge siku ya jumanne, Kampuni ya Facebook mbioni kubadili jina

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Facebook bwana Mark Zuckerberg, anatarajiwa kuzungumzia mabadiliko haya ya jina kwenye mkutano wa mwaka wa Connect conference mnamo tarehe 28 mwezi wa 10, 2021. Hata taarifa hii imetoka mapema kabla ya muda kupitia chanzo cha kuaminika (ambacho hakikutaka kujulikana).

Makampuni makubwa uwa yana tabia ya kutengeneza kampuni kubwa moja inayosimamia makampuni mengine yote, mfano Google walianzisha kampuni ya Alphabet mwaka 2015, na inaonekana kampuni hii mpya ndiyo itakuwa ikisimamia makampuni mengine kama app ya Facebook, Instagram, Whatsapp, Oculus na mengine ambayo yako chini ya kampuni ya Facebook.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti Tanzania robo ya kwanza 2023

Kwanini Facebook Mbioni Kubadili Jina?  Wazo la Facebook mpya ni kujikita zaidi kwenye “metaverse” – mazingira yanayoendeshwa na kompyuta ambapo watu wanaweza kuwasiliana kupitia teknolojia kama Artificial Intelligency (uelewa wa kutengenezwa) na Virtual Reality pamoja na teknolojia zingine za namna hiyo. Facebook imekuwa na wazo hili tangu iliponunua kampuni ya vifaa vya kuvaa kichwani vya virtual reality ya Oculus mwaka 2014.

Taarifa hii ya Facebook kutarajia kubadili jina imekuja baada ya tangazo ajira zipatazo 10000 zilizotangazwa na Facebook kwa nafasi zinazohitaji utaalamu huko umoja wa ulaya kupitia kampuni yake ya Horizon Worlds kwa miaka mitano.

Mitandaoni watu wameanza kukisia jina la kampuni hii mpya linaweza kuwa FB, Meta au Horizon. Hata hivyo Facebook wamegoma kuzungumzia ripoti hii wakisisitiza uwa hafanyii kazi tetesi.

KWENYE Facebook
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?