MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Sasa unaweza kutazama Netflix Bure ukiwa Kenya
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Apps > Sasa unaweza kutazama Netflix Bure ukiwa Kenya

Sasa unaweza kutazama Netflix Bure ukiwa Kenya

Imeandikwa na Alice Kimathi Mwaka 1 uliopita
Sambaza
Netflix Bure ukiwa Kenya
Sasa unaweza kutazama Netflix Bure ukiwa Kenya, baada ya Netflix kuzindua huduma zao nchini humo na kuja na kifurushi cha kuangalia bure. kifurushi hiki kitakuwezesha kuona asilimia 25 ya filamu na michezo ya kuigiza yote ambayo inapatikana kwa watumiaji wa kulipia.

Ili uweze kunufaika na ofa hii, lazima uwe mtumiaji mpya wa netflix, na utaweza kupata ofa hii kupitia simu za mkononi tu. unachotakiwa kufanya ni kuingia netflix.com kujaza taarifa zako ili na ni lazima uwe na miaka 18 au zaidi, hakutakuwa na kipengele cha kujaza malipo.

katika chapisho waliloweka kwenye tovuti yao, Netflix wamesema, “kifurushi hiki cha bure kitaanza kupatikana Kenya kuanzia leo na kuendelea kwa majuma kadhaa. ni imani yetu watu wengi watakaojaribu kifurushi hiki wataipenda netflix kiasi cha kutaka kuwa wateja wa kulipia”.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Hii sio mara ya kwanza kwa Netflix kutoa huduma zao bure (au kwa gharama nafuu sana) kwa wateja wake wapya, uwa inafanya hivyo mara kwa mara hasa kwenye masoko mapya na wanayofanyia majaribio, hutoa vipindi vya bure na filamu kwa wateja wapya.

Watumiaji wa kifurushi cha bure cha Netflix watakosa nini?

  • Wataweza kuona asilimia 25 tu ya filamu na michezo ya kuigiza inayopatikana netflix
  • Lazima wajiunge kwa kutumia simu za android.
  • Hawataweza kudownload ili waangalie wakiwa nje ya mtandao.
  • Hawataweza kuonesha filamu kutoka kwenye simu kwenda kwenye TV janja.

Je, Netflix wataweza kuongeza wateja wapya wa kulipia?

watafanikiwa kama tu wataweza kurahisisha njia za malipo, waafrika wengi hasa watu wa afrika mashariki hawatumii kadi za kielektroniki za malipo ambayo ndio njia kuu kwa makampuni mengi ya nje, kama wataweza kuunganisha huduma zao na mifumo ya malipo kwa njia ya simu kama ambavyo Spotify walifanya kenya, basi watawapata wateja wengi.

Kwa sasa makampuni mengi ya konesha filamu na michezo ya kuigiza ya kimarekani kama Netflix na Amazon Prime yanazidi kujipenyeza kwenye masoko ya nje ili kuongeza kasi ya ukuaji wake. Ni imani yetu siku za karibuni na sisi Tanzania tutapata fursa ya kufurahia huduma kama hizi.

usisite kuacha maoni yako hapo chini kwenye uwanja wa maoni, pia usisahau kutufollow mitandao mbali mbali ya jamii kupata upate zaidi, tutumia barua pepe [email protected]

KWENYE kenya, netflix
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?