MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Simu
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma Netflix imepoteza Wateja 200,000, Kuja na mpango wa Matangazo
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • kompyuta
  • Maujanja
  • Apps
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Makala
    • Apps
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Matukio
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
    • Utamaduni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • intaneti
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • vifurushi visivyo rasmi
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Featured > Netflix imepoteza Wateja 200,000, Kuja na mpango wa Matangazo

Netflix imepoteza Wateja 200,000, Kuja na mpango wa Matangazo

Imeandikwa na Emmanuel Tadayo Miezi 11 iliyopita
Sambaza
Netflix imepoteza Wateja 200,000
Netflix imepoteza wateja 200,000 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022, hii ni mara ya kwanza kwa idadi kubwa ya wateja kushuka kwa miaka 10. Kwa mujibu wa ripoti, inatarajia kupoteza wateja milioni 2 zaidi katika miezi mitatu kutoka Aprili hadi Juni, kampuni hiyo ilisema Jumanne.

Katika ripoti yake ya mapato ya robo ya kwanza, Netflix imesema sababu kubwa ya kushuka kwa wateja ni vita kati ya Urusi na Ukraine ambapo walisitisha huduma nchini Urusi na hivyo kupoteza wateja takribani laki 7. Pia sababu ingine inatajwa kuwa ni watumiaji wengi kuchangia password.

Mpango wa Netflix kuokoa jahazi

Katika ripoti ya mapato  robo ya kwanza, Netflix imefafanua kuwa zaidi ya watumiaji milioni 100 wanachangia password kwenye akaunti zao za Netflix, kuchangia password kumetajwa kama sababu moja wapo ya kushuka kwa wateja wake. Ili kukabiliana na jambo hili,

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Teknolojia ya hali ya juu kutumika katika Kombe la Dunia la FIFA Qatar 2022

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Netflix Kulipisha Zaidi Wanaochangia Password. 

Tayari Kipengele hicho kinafanyiwa majaribio kwa watumiaji nchini Chile, Costa Rica, na Peru, wamedai hii ni njia ya Netflix kupambana na kuchangia password na kupata wanachama zaidi, kwa kuzingatia watu wanaotumia Netflix bure sio wanachama kweli. Kipengele hicho kitafikia masoko zaidi katika mwaka mmoja.

Njia nyingine Netflix inakusudia kutatua shida ya kupungua kwa wateja ni kwa kuanzisha mipango ya bei rahisi, pamoja na kuweka matangazo hivi karibuni. Mpango huu wa matangazo haukuwa mkakati wa awali lakini imeonekana wazo hili litaongeza wateja zaidi na mapato.

Netflix imetaja sababu zingine za kupungua kwa watumiaji ni pamoja “matumizi ya TV zilizounganishwa,” na huduma pinzani kama Disney+ na Amazon, gharama za data, vita vya Urusi na Ukraine, kuongezeka kwa mfumuko wa bei, pia wamesema COVID-19 pia imechangia.

Netflix inapanga kutatua suala hili na hatua zilizotajwa hapo juu  kwa kuongeza maudhui bora. Na bado, wanatarajia upotezaji wa wateja karibu milioni 2 katika robo ya pili ya 2022.

Unafikiria nini kuhusu Netflix kupoteza wateja? Je, unadhani imeanza kupoteza mvuto wake? Shiriki mawazo yako katika sehemu ya maoni hapa chini.

 

 

 

 

 

 

KWENYE netflix
Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Siku 4 zilizopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Siku 5 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?