Nokia wazindua feature phone mbili mwc, Nokia 105 na Nokia 301

Mwandishi Hemedans Nassor
kama we ni mpenzi wa simu ambazo sio smartphone, simu ndogo zinazokaa na charge simu ambazo ni rahisi kutumia basi hizi zinakuhusu,   leo katika tamasha la mobile world congress Nokia wazindua feature phone mbili mwc, Nokia 105 na Nokia 301. kwa kuanza tuiangalie nokia 105,

 

nokia 105 successor wa nokia ya tochi

nokia wanasema research zinaonesha kuna watu 2.7 billion duniani wanatakiwa wawe na simu lakini hawana, na hii simu imetengenezwa kwa ajili yao kwa bei rahisi kabisa ya euro 15(shilingi elfu thelathini za kitanzania)

vitu muhimu kwenye hii simu

 1. inakaa na chaji hadi siku 35
 2. ina tochi
 3. ina kioo cha rangi
 4. ina fm radio
 5. ina button zisizopitisha vumbi na cover kwa ujumla
 6. saa inayoongea
 7. bei rahisi ya elfu 30 (bila kodi) nafkiri baada ya kodi itakua 35,000 au 40,000

 

nokia 301 feature phone ya ukweli

nilikua naangalia live event hii sikuamini macho yangu nilipoona feature za camera yake ilikua ni zaidi ya cheap smartphone, kama we ni mpenzi wa camera na huna hela narecomend hii simu na bei ni euro 65 kama laki na elfu 30 za bongo mpya.

 

vitu muhimu kwenye hii simu

 1. ina camera ya kuongea ukikaa vibaya inakuambia
 2. inakubali panorama
 3. ina 3g na whatsapp
 4. ina line mbili
 5. inakubali hd voice na kuondoa makelele na kueka sauti clear ukiongea
 6. button za candy

 

[wpdiscuz-feedback id=”a3y8twgpuh” question=”Please leave a feedback on this” opened=”1″]nasubiria maoni yenu chini guys[/wpdiscuz-feedback] au facebook

Mwandishi Hemedans Nassor Mchangiaji
Hemedans aka Chief Mkwawa, amekuwa mwandishi wa makala mbalimbali za teknolojia kuanzia kuanzishwa kwa Mtaawasaba. Kwa sasa ni mchangiaji kila anapopata nafasi
Maoni yako

Trending on Mtaawasaba

Receive Mtaawasaba notifications Click ‘Receive,’ then ‘Allow’ when prompted. Dismiss Receive