MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma WhatsApp mbioni kuruhusu utumaji wa mafaili ya ukubwa wa 2GB
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • Maujanja
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Habari > WhatsApp mbioni kuruhusu utumaji wa mafaili ya ukubwa wa 2GB

WhatsApp mbioni kuruhusu utumaji wa mafaili ya ukubwa wa 2GB

Imeandikwa na Alice Kimathi Mwaka 1 uliopita
Sambaza
WhatsApp mbioni kuruhusu kutuma mafaili ya ukubwa wa 2GB
App maarufu ya kutuma na kupokea meseji inayotumiwa na watu wengi zaidi duniani ya WhatsApp iko mbioni kuruhusu kutuma mafaili ya ukubwa wa 2GB. Kwa mujibu wa taarifa iliyopo kwenye tovuti ya WABetaInfo, mtandao huo uko mbioni kwenda sambamba na mpinzani wake Telegram, ambaye anatoa huduma ya kutuma mafaili makubwa ya mpaka 2GB tangu mwaka 2020.

Ripoti hiyo inaeleza kuwa  WhatsApp imeanza kufanyia majaribio maboresho hayo kwa idadi ndogo ya watumiaji wa iPhone. Watumiaji hawa ni wale wanaotumia toleo la majaribio na maboresho haya yameanza kuonekana katika toleo la majaribio la 22.7.0.76 la iOS. Maboresho haya yameonesha ongezeko la ukubwa wa mafaili yanayotumwa kupitia WhatsApp kufikia mpaka 2GB. Kwa sasa unaweza kutuma faili lenye ukubwa usiozidi 100MB kwa wakati mmoja.

WhatsApp mbioni kuruhusu kutuma mafaili ya ukubwa wa 2GB
Picha kwa hisani ya: WABetaInfo

Majaribio haya yanafanyika kwa watumiaji wa iOS nchini Argentina. Kupitia tovuti ya WABetaInfo imeambatanishwascreenshot kuwataarifu watumiaji kuwa sasa wanaweza kutuma mafaili makubwa, pia screenshot inaonesha kuwa kifaa kilichotumika ni kinachotumia mfumo endeshi wa iOS. Hata hivyo baadhi ya watumiaji wa toleo la majaribio kwa mfumo endeshi wa Android huko Argentina wameweza kuona mabadiliko haya.

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti Tanzania robo ya kwanza 2023

Kwa sasa sisi tuliobaki tukae kwa kutulia kwani haijawekwa wazi ni lini watumiaji wengine wataweza kuanza kupata maboresho hayo kwa sababu inasemekana WhatsApp wana uwezo kurudisha ukubwa wa zamani baada ya haya majaribio.

Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Wiki 1 iliyopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Wiki 2 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?