MtaawasabaMtaawasaba
  • Habari
  • Android
  • Kompyuta
  • Windows
  • Maujanja
  • StartUps
Mengineyo
  • Muongozo
  • Maujanja
  • Programu
  • Simu Janja
  • Teknolojia
Mtaawasaba
  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Mitandao
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • Newletters
© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive
Unasoma WhatsApp yazindua Community Chats, Emoji Reaction, na zana kwa ma Admin
MtaawasabaMtaawasaba
  • Apple
  • Maujanja
  • StartUps
  • Magari
  • Mtaawasaba
    • Habari
    • Maujanja
    • Kompyuta
    • Simu Janja
    • Magari
    • Muongozo wa mtumiaji
    • Mitandao ya kijamii
    • Programu
    • Teknolojia
    • Mfumo endeshi
    • Miwani Janja
    • Saa Janja
    • Televisheni
  • Mengineyo
    • Microsoft
    • Windows
    • SnapChat
    • TTCL
    • Tigo Tanzania
    • Google
    • halotel
    • Instagram
    • iOS
  • Kuhusu Mtaawasaba
    • Kuhusu Sisi
    • Sera ya faragha
    • Vigezo na Masharti
    • Wasiliana Nasi
Una akaunti? Ingia
Tufuate mtandaoni
© 2022 Mtaawasaba Interactive. Haki zote zimehifadhiwa.
Mtaawasaba > Habari > WhatsApp yazindua Community Chats, Emoji Reaction, na zana kwa ma Admin

WhatsApp yazindua Community Chats, Emoji Reaction, na zana kwa ma Admin

Imeandikwa na Kato Kumbi Miezi 12 iliyopita
Sambaza
WhatsApp yazindua Community Chats
Yaliyomo
Reactions – Emoji Reaction ni kipengele kinachomuwezesha mtumiaji ku react kwenye ujumbe husika moja kwa moja bila kuweka emoji zinazojitegemeaAdmin Delete – Sasa wasimamizi wa makundi wataweza kufuta ujumbe wowote kutoka mtu yoyote.File Sharing – Sasa itawezekana kutuma ma faili yenye ukubwa wa mpaka 2GB. Larger Voice Calls – Sasa itawezekana watu hadi 32 kuongea kwa pamoja kwenye audio call.
Baada ya kuachwa nyuma na App zingine zinazotoa huduma ya kutuma na kupokea jumbe kama Telegram, hatimaye WhatsApp yazindua Community Chats, Emoji Reaction, na zana kwa ma Admin.

WhatsApp kwa muda sasa wamekuwa wakifanyia kazi vipengele vya Reactions na Community, na sasa wametangaza rasmi kuzindua vipengele hivyo. Haya ndiyo unayotakiwa kuyafahamu.

 

Unaweza Kusoma

Elon Musk ametangaza rasmi vita na Apple

Ramani, kutoka Tanzania yakusanya $32m kurahisisha mnyororo wa usambazaji

Tovuti ya iCloud ya Apple yapata muonekano mpya, inavutia zaidi.

Starlink kuanza kutoa huduma za intaneti Tanzania robo ya kwanza 2023

Kupitia  press release waliyoandika, kipengele cha Communities kitakuwa ni mahususi kwa taasisi lama shule na klabu ndogo ndogo, bila kusahau taasisi zinazojitolea.

Maboresho pia yataonekana kwenye makundi ambapo sasa itawezekana hadi watu 32 kuongea kwenye audio call kwa wakati mmoja, reactions, uwezo wa kutuma mafaili makubwa ya mpaka gb 2, na pia sasa admin wa kikundi ataweza kufuta ujumbe wowote.

  • Reactions – Emoji Reaction ni kipengele kinachomuwezesha mtumiaji ku react kwenye ujumbe husika moja kwa moja bila kuweka emoji zinazojitegemea

  • Admin Delete – Sasa wasimamizi wa makundi wataweza kufuta ujumbe wowote kutoka mtu yoyote.

  • File Sharing – Sasa itawezekana kutuma ma faili yenye ukubwa wa mpaka 2GB. 

  • Larger Voice Calls – Sasa itawezekana watu hadi 32 kuongea kwa pamoja kwenye audio call.

WhatsApp yazindua Community Chats, Emoji Reaction, na zana kwa ma Admin

Mkurugenzi mtendaji wa WhatsApp, bwana  Will Cathcart, ametangaza kuwa Reaction kwa sasa zitakuwa na emoji sita tu, ila kadri siku zinavyoendelea zitaongezwa emoji zaidi na muonekano kama instagram.

Mtaawasaba itakujuza mpenzi msomaji wetu vipengele hivi vitakapoanza kuonekana. Unazungumziaje maboresho haya? Tuandikie kwenye comment hapo chini, pia usisahau kutuandikia kwenye mitandao ya kijamii

Sambaza chapisho hili
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Barua Pepe Nakili kiungo Durufu
Acha Ujumbe

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Mtaawasaba Newsletter

Jiunge nasi kwa njia ya barua pepe tukujulishe kila inapotoka habari mpya

Zaidi Kutoka Mtaawasaba

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Sasa unaweza pata Blue Tick kwa kulipia Instagram na Facebook

Wiki 1 iliyopita
Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Airtel yawa ya kwanza kuzindua huduma ya kadi za eSIM Tanzania

Wiki 2 zilizopita
Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Instagram yazindua Notes, Candid Stories, na Zaidi

Miezi 3 iliyopita
Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Umoja wa Ulaya waishinikiza Apple kuruhusu maduka mbadala ya programu kwenye iPhones na iPads

Miezi 3 iliyopita

© 2013 - 2023 Mtaawasaba Interactive. Crafted by Simba Creative

  • Kuhusu Sisi
  • Sera ya faragha
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi
Go to mobile version
logo logo
Karibu Mtaawasaba!

Jaza taarifa kuingia Kwenye Akaunti Yako

Umesahau Nywila?